Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Eti wajameni hili neno 'MISALSALAATI' lina maana gani?
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Pm
Jamani wana jf naomba mnifahamishe hili neno PM linamaana gan?????...maaana wengi humu jf nimeona wakilitumia sana tafathar naomba mnijuze.....
0 Reactions
3 Replies
750 Views
BLACKZOMBIE: LIFE WASTED "Hi, I am a zombie, a blackzombie. Here are the facts I gathered from a life wasted."Im this kinda zombie with silly feelings,I feel nothing. I spend day and night...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Jaman natafuta mwalimu wa kunifundisha kuongea kispania, maana kuna mtu ananisumbua kila nikimwambia aongee kingereza anasema awezi saa naômba kama kunamwalimu an PM please!
0 Reactions
0 Replies
716 Views
We are freelance translators and native speakers of Swahili language who learned English at tender ages. We have been exposed to both cultures fairly well and we know and understand as well as...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani hivi eti huu msemo uko sahihi? naona wenzetu wanatumia I have no air time............ Tujadili kdg
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wanajamvi,eti mdudu huyu kwa lugha fasaha(kiswahili) anaitwaje?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nisaidieni kujua iwapo neno HAYATI ni sahihi kulitumia kwa kumaanisha neno Marehemu. Kama kusema Hayati Malima au hayati Kambona. Na kama si mahala pake hapo ni wapi neno HAYATI linaweza kutumika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
katika lugha ya Kiingereza, kuna neno lnaandikwa na kutamkwa 'FOOD SECURITY'. katika baadhi ya magazetii, kwa kiswahili neno hili linatafsiriwa kama USALAMA wa CHAKULA Je, ni kweli tuna maanisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF naomba mnisaidie huwa naangalia KBC TV na katika taarifa zao wanakipindi wanakiita Taarifa za Magatuzi,Nimejaribu kufuatilia ili hata nibahatishe lakini sipati picha.Nini maana ya...
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Naomba niondolewe utata huu, inaitwa OFISI au AFISI?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tangu ujana wangu na kusoma kwangu,sijawahi kujua kirefu cha maneno maarufu Barani Afrika : MAU MAU. MAU MAU lilikuwa jina la vuguvugu za kupigania na kudai Uhuru nchini Kenya katika miaka ya...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
The title above is concerned! Malaya ni nani? Ni mwanaume au mwanamke? Je, kila mtu anaweza kumwita mwanamke/mwanaume malaya? Hata kama hawajawahi kukutana naye kimwili? Kwa upande wangu huwa...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wale wanakumbi niliowateremshia kamusi yangu ndogo ya "Istilahi ya Ngamizi" nataka kuwarifu kwamba inaonekana kuwa "laptop" siku hizi neno laki la kiswahili ndilo "ngamizi mpakato". Vizuri kabisa...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Mara nyingi ndani ya vyombo vya usafiri hasa daladala utasikia abiria anatamka shusha kituo fulani ama acha kituo fulani. Ni neno gani hasa linapasa kutumika?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Endelea kujifunza Kiswahili na kama ikiwezekana uwafahamishe wengine yale mazuri unayoyapata unaposoma makala haya. Angalia sentensi zifuatazo: “Alisema mbali na suala la menejimenti lakini pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauliza wakuu je, lipo neno tofauti la kiswahili la infidelity kwa kuwa katika google translate nimepata kuwa ni ukafiri ila sijaelewa nitafafanua vipi ukafiri kuwa infidelity.naomba mnijuze.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Mi papá tiene 47 años = Babangu ana miaka 47 Mi papa tiene 47 anos = Kiazi changu kina mikundu 47 Jamani tuwe makini katika kuangalia vijialama.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hali zenu wakuu. UKITAKA KUMUULIZA MAMA YAKO MI NIWANGAPI KUZALIWA? KWA KiNGEREZA(OR IN ENGLISH) UTASEMAJE?
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Sio mara moja au mbili bali ni mara kadhaa ninapo sikiliza taarifa au kuangalia runinga kwa ajili ya kupata habari huwa ninawasikia watangazaji wanatamka kwa mfano ...katika ajali hiyo abiria X...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom