Ingawa watu hujisifia kuifahamu lugha na kuwa na msamiati lukuki, ukweli ni kuwa wengi hawajui hata maana halisi ya maneno ama wayatumiayo au yaliyozoeleka. Moja ya maneno hayo ni mpumbavua u fool...
par Mathurin-
Je suis l'identité de mes mots
Je suis l'identité de mes mots
Ils me racontent me définissent
La plupart du temps tel que jsuis
Je suis lidentité de mes mots
Ils sont les...
Wakuu nimekutana na neno "Majumui" mara nyingi tu sehemu mbalimbali duniani. Hata juzi wakati wa kigoda cha mwalimu nyerere nilimsikia Prof. Rwekaza Mukandala akilitaja.
Mpaka imefikia UDSM...
Unaniudhi wewe.....Wewe usiojua vema matumizi sahihi ya herufi...
Utakuta mtu hajui atumie wapi 'l' na wapi atumie 'r', anabaki kuchanganya na kuleta maneno au sentensi isiyoeleweka vizuri...
Kwa Washwahili wenzangu,
Kwa wale waliondoka tanzania kwa miaka ishirini iliyopita, wakirejea leo wanashindwa kufahamu watu wanazungumzia nini, wanashindwa kufahamu magazeti yanaandika nini...
Hivi neno mheshimiwa lina maana gani?Maana inanishangaza kuona mtu anaitwa mheshimiwa lkn mambo anayoyafanya ni tofauti na jinsi anavyotwa.Mfano Mwigulu Nchemba na wengine kama hao wanaitwa...
NIlikuwa nasikia tu neno Boko Haramu lakin sijui maana yake. Kumbe Boko Haramu maana yake ni "Western education is sinful".
Kumbe ndiyo maana wafuasi wake na wapenzi wake, na washabiki wake, na...
Ni umalaya na nani Malaya? Malaya ni msichana au mwanamke ambaye anafanya mapenzi na mtu asiyekua si mumemwe wa hahalali. kuna namna tatau za umalaya nazo 1. Malaya wa kwanza ni yule ambaye...
Wanajamii wanaojua kimombo, nina wasiwasi na hii kauli, pale mtu uliyempigia na "kumkosa" anapokupigia na kusema;
"....nimekuta MISSED CALL yako!"
Nijuavyo mimi, inapaswa kubadilika na kuwa...
Tangazo la vodacom la Nimeshinda (100,000,000)linakera nackukidhalilisha kiswahili na mwalimu
linaaza kwa kumuonyesha mwalimu aliyevaa kwa staha akiwa ubaoni uliojaa herufi na tarakimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.