Habar wana jamvi,naomben msaada wa kimawazo,ushauri,vitendo na hata ikibid kaz kama nitakuwa nimekizi vigezo ingawa kwa sasa nahitaj zaid mafunzo.nimemaliza chuo kikuu ,shahada ya kiswahili...
Wana jamvi Amani iwe kwenu. Mtoto wangu wa darasa la sita aliniuliza swali mwaka mmoja uliopita mpaka sasa sijapata jibu, nakuja kwenu maana kanikumbushia ikabidi nimuombe samahani. Anauliza...
KUMEKUWEPO NA UBISHANI MKUBWA KUHUSU MATUMIZI YA KIINGELEZA KAMA LUGHA YA KUFUNDISHIA BADALA YA KISWAHILI.
nini maoni yako?
Zingatia
1.kiingeleza kinadaiwa kuchangia matokeo haya mabaya ya...
Kitabu cha Kiswahili 'Bidhaa Adimu: Jiajiri' sasa kimeshachapishwa Dar es Salaam na kitaanza kupatikana madukani hivi karibuni. Ukisoma kitabu hiki wewe mwenyewe utachukua hatua ya kujiajiri au...
msaada tafadhali.shangazi anahitaji msaada wenu.ni hivi:binamu yangu amehitimu 4m 6.amemwambia shangazi yangu kuwa fomu ya mkopo ni 50000 na ya chuo ni 30000 na mwisho wa kulipia ni...
Mwaka 2013 NOKIA wameboresha kwa kuweka lugha ya kisukuma kwenye simu na mambo yatakuwa kama ifuatavyo:-
Phonebook
SHITABHO SHA SIMU
Names
MINA
Time
MAKANZA
Ringtone
LUPUNDU
Setting
MABEGEJO...
Mwandishi maarufu wa riwaya Mzee Adam Shafi akitupatia historia ya maisha yake toka mwanafunzi, kazi ya udobi ilimwezesha kukata tiketi ya meli nia na ndoto kufika Uingereza kwa ajili ya masomo...
Azungumzia Watanzania na lugha yao ya Kiswahili na pia umuhimu wa kuzungumza Kiswahili fasaha ili wageni waendelee kutambua Tanzania ndiyo nchi yenye Kiswahili fasaha. Mazungumzo na John Mtembezi...
Katika hali ya kushangaza yaani isiyotegemewe hata kidogo....mtangazaji wa Redio Abood ameruhusu kusikika hewani kupitia redio hiyo methali mpya (kwangu na labda na wengine ambao walikuwa...
Yaani kitabu au makala ya sheria ya hakimiliki niweze kuyasoma na kuzifahamu hizi sheria
Naomba msaada jamani
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
kusaga tunajua kitendo cha kuponda kitu kutoka hali yabisi/ugumu (mfano mahindi, mawe, n.k) kwenda katika hali ya unga unga. Tunatumia neno 'usagaji' zaidi kwenye kitendo cha kutengeneza unga wa...
KISWAHILI NI LUGHA NA TUNU YA TAIFA. Nani kasema Kiswahili si lugha imara? Nani anasema Kiswahili si lugha mashuhuri? Na nani ansema kuwa Kiswahili si lugha ya kisomi? Ni jukumu la...
kusaga tunajua kitendo cha kuponda kitu kutoka hali yabisi/ugumu (mfano mahindi, mawe, n.k) kwenda katika hali ya unga unga. Tunatumia neno 'usagaji' zaidi kwenye kitendo cha kutengeneza unga wa...
Ipo live on ESPN sasa hivi.
Ebana hivi vitoto ni kiboko! Vinanifanya mtu mzima nijione sijui kitu kabisa katika medani za tahajia na msamiati wa Kiingereza.
Nani mwingine anafuatilia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.