Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Neno juice ni kiingereza kiswahili chake ni kipi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mtu akikuuliza ''haujambo'' unajibu ''sijambo'' ukimaanisha hauna tatizo,je, ukiwa na tatizo utajibu vipi?namaanisha kinyume cha neno sijambo katika salamu.
1 Reactions
28 Replies
9K Views
nimeona watu wengi na vyombo vya habari vinashindwa kumtofautisha lowassa aidha ni mstaafu au aliyejiuzulu. lowassa ni waziri mkuu aliyejiuzulu, na siyo mstaafu kama walivyozoea kumwita. over..
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Binafsi natatizwa sana na maneno yafuatayo kama yalivyotumika katika Nadharia ya Udenguzi Aporia Tofahirisho Nitafurahi sana kusikia ufafanuzi wa maneno hayo kutoka kwenu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
....Unataka kumuuliza rafiki yako mzungu ( babake ana wake wawili) : '' Wewe kwa mama yako ni wa ngapi kuzaliwa?" Nisaidieni kiingereza chake safi cha bila ku ungaunga au kumung'unya ntasemaje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Siku moja wafanyakazi wa kampuni walifika ofisini ,na walioona tangazo kubwa kwenye mlango limebandikwa “jana mtu ambaye amekuwa akiwazuia nyie msipate mafanikio amekufa.tunawakaribisha katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba nifahamishwe kwa nini sehemu ya kutolea haja kubwa(kinyesi) inaitwa tigo. Kuna uhusiano gani mpaka ikaitwa tigo? Wajuzi naomba mnijuze!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nipo arusha,kunarafiki yangu anatafuta darasa maalum kwa ajili yakujifunza lugha ya kingereza.vyuo vipo vingi sana kwa sasahivi yupo pale jengo la molell alakini hakuridhika na mafunzo...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
jaman et juice na i miss you kwa kiswahili anayejua anitoe ushamba
0 Reactions
9 Replies
8K Views
wa2 tunakufa njaa pesa wanazila wengne* ukiongea kwa umma waweza chinjwa pengne* wanasema bora u2lie ucje fikishwa pengne* naongele utawala wa tz co nchi nyngne* unaomilikiwa chama cha mabavu na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
my self am kinshasa born&grow up.by the experience and importance of our fabulous lugha takatifu(swahili)we are on the way to step up a cmnauty radio station in (kin)our efort is to start spreed...
1 Reactions
3 Replies
917 Views
Leo nilikuwa kwenye daladala kutoka magorofani kwenda mwenge, nikakuta kuna mjadala unaouhusu ni lugha ipi nzuri kati ya kiswahili na kiingereza yenye kufikisha ujumbe na mtu akakuelewa vizuri...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
we do have a dream abt swahili. is after so many time of no unification.we beleve kiswahili wil help to unified drc ppl.so we ned help to.from ccm
0 Reactions
2 Replies
812 Views
nasema asante kwake(sugu)tatizo la lugha ya kiswahili ni uzembe?au uchoyo@ya ccm?yahani ata lugha ya kiswahili.we ned a change bcz its time 4 change
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Ninatafuta translator wa kuntranslate brochure za English to Swahili. Naomba unijulishe kama wewe ni mmojawapo kwenye fani hii. Asanteni
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Haya maneno hua yananitatiza sana, huenda ni sawa kusema mkono wa KULIA (Chakula) lakini napata shida kusema mguu wa KULIA (kwa asili ya yalikotoka) wadau tusaidiane hapa mana najua SIKO peke yangu
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Haya maneno yananichanganya sana kiswahili chake, naomba wajameni mnisaidie
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ninapenda sana waandishi wetu walioandika vitabu mbalimbali kama: Kufa na Kupona, Je Kisasi, Dimbwi la damu, Tutarudi na roho zetu, Salamu toka Kuzimu na kadhalika. Ninachotaka kuuliza ili munipe...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Anahitajika mtu wa kufanya translation vizuri kutoka kiswahili kwenda kingereza kwa bei poa. Mimi niko Arusha ila hata kama uko Dar es salaam tunaweza kukubaliana
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna tangazo humu JF lina hiyo heading, wataalamu wa lugha ya kiingereza, hii imekaaje? cc Kiranga
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom