Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Waasisi wamesalitiwa afrika nakulilia. Afrika umekuwa mtumwa wa wb afrika umekuwa kuhadi wa imf afrika zobe la usa, afrika umekuwa simango la watu wako nakulilia afrika...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Thamani tena hakuna, yameachwa nje, Usiri tena hakuna, yameachwa nje, Aibu tena hakuna, yameachwa nje, Ustaarabu tena hakuna, yameachwa nje. Balehe ilipofika, yalitunzwa hakika, Binti...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
'Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.' literally, inamaanisha, uwe mpole kwa manesi kwasababu watagoma kukusaidia kuzaa. Haha. Kiukweli maana yake ni nini?
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Imekuwa ni kawaida kuona nchi nyingi duniani zkianzisha shule mbalimbali za kufundisha lugha zao, mf. China, Japan, Russia na Spain. Kiswahil kikiwa moja ya lugha zinazokua duniani, kuna nchi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nataka kujua jinsi ya kuhesabu namba kuanzia moja mpaka ishirini katika lugha ya Kiyao
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muamala,amana,muawala.iv tofaut ipo? Email sirbilly3@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf, nita furahi sana endapo ikitokea siku Kiswahili kikatumika katika masomo ya elimu ya juu hisopkuwa. Kwa sababu naona watu wengi Kingeleza kina wapiga chenga na kuwafanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Maana ya neno 'kafiri' ni mtu asiyeamini kuwa kuna Mungu. Katika Biblia Takatifu 'makafiri' wanatajwa. Rejea kitabu cha maombolezo ya Jeremia 1:3 neno la Mungu linasema hivi: "Yuda amehamishwa...
0 Reactions
1 Replies
11K Views
Its true that you are the product of your own thoughts and decisions. Whatever you decide on daily basis, whatever you do in your routine life is directly or indirectly linked to your future...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Japokuwa kujua kiingereza sio uthibitisho wa usomi, lakini ni aibu pale ambapo katika mkutano wa Maraisi kama uliofanyika pale Ngurudoto Arusha hakuna hata kiongozi wa serikali alieona kosa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
im·po·tent/ˈimpətnt/ Adjective Unable to take effective action; helpless or powerless. (of a man) Unable to achieve a sexual erection. Synonyms powerless - weak -...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ktk forum inayoendelea ya Kigoda cha Mwl. Nyerere kuna bango limeandikwa.. "DEVELOPMENT IS STRUGGLE" ipo vipi hii?
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari?,jamani naomba msaada wa kuandika sentensi hii katika wingi: "kaka yangu ana mke"
0 Reactions
18 Replies
9K Views
'Penye miti hapana wajenzi' huu msemo wa mababu zetu ni valid wakati huu!? Naogopa mana naona unaukweli dhahiri kwenye taifa hili. Tuna kila kitu hapa nyumbani,ardhi,misitu,madini,maziwa na mito...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nini tafsiri ya starehe gharama kwa Kiingereza?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpoto alituma salamu, ukavunga ujazisikia Roma akashika kalamu, nyimbo akakuandikia We una akili timamu, sema tu hutaki zitumia au mpaka imwagike damu, ndiyo utajua tunaumia? Izzo-B akamtuma...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Kujua kingereza fasaha pasipo kujiuma ni muhimu katika interview yako ya kazi.usikae ukalalamika ni lugha ya kigen kila siku.wakat kuna njia lukuki za kukijua..tembelea websites.visit center...
1 Reactions
1 Replies
845 Views
Wana lugha naomba munisaidie. Nini tofauti ya mganga wa kienyeji na mmganga wa asili.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF,sote tunajua majina ya siku zote saba za week kuwa ni; 1.Mon-day 2.Tues-day 3.Wednes-day 4.Thurs-day 5.Fri-day 6.Satur-day 7.Sun-day. Sasa najiuliza sana,maana ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hivi nini maana ya neno randama za bajeti hili neno nimelisikia sana bungeni lakini siielewi nini ambacho kinazungumziwa,mwenye kufahamu anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom