jamani naombeni muni simulie ile riwaya ya mzee beka. Mimi niliishia pale ben amewateka watoto wa mzee beka na mke wa singh, halafu anajua wamemteka jabu pekee. Kumbe na ndugu yake pia ametekwa.
Nimeulizwa swali kuhusu muongozo wa jinsi ya kupoata wawakilishi wa wajumbe wa Baraza la Kata katika Katiba Mpya
Moja ya masharti ni kwamba lazima uwe na makazi ya kudumu katika kata husika, eti...
Hili nimepata kuendelea kuliona kupitia ndani ya majukwaa (forums) ya humu JF, na linakua kwa kasi ya ajabu kadiri siku, miezi na miaka inavyojongea.
Kuna baadhi ya watu humu utakuta kama...
Helow frnds,Iam so anxious on knowing dis language,and i c my self as iam not fluently on it both speakn n writn,so may u direct good place dat use to teach dis language dat wil mak m 2b...
Unaweza kuwa ni miongoni mwa
watu wanaokichukulia poa Kiswahili
na kudhani kuwa kujua Kiingereza
ndio dili! Muulize Jose Chameleone
jinsi Kiswahili kilivyobadilisha
maisha yake. Kupitia...
Hapo zamani palikuwagepo na simba aliyejulikana kama mfalme wa wanyama wote porini. Siku moja aliamua kumtembelea Sungura aliye julikana kuwa mwerevu na mjanja sana kule porini. Basi, simba...
WIZARA ZIMEWASHINDA !
Waziri Mkuu Pinda, metuacha na kololo!
Aonesha bado kinda, bado amelala dolo!
Kuongoza amepinda, liko wapi atendalo?
Wizara zimewashinda
Ninakuomba Mkubwa...
Habari zenu wadau, nimekuwa najifundisha kifaransa mimi mwenye kwa kutumia online videos training, niko katika atua za mwanzo. Naitaji marafiki ambao wanajua kifaransa, ili niweze kua naongea nao...
Mastar wengi wa kitanzania wakikosolewa huwa wana tabia kuwa-brand waliowakosea kuwa ni "HATERS." Hater siyo neno rasmi la kiingereza bali ni neno la mitaani tu likiwa coined siku za hivi karibuni...
Well son, Ill tell you:
Life for me aint been no crystal stair.
Its had tacks in it,
And splinters,
And boards torn up,
And places with no carpet on the floor
Bare.
But all the time...
huwa nashindwa kabisa ni namna gani na mahali gani kuyatumia maneno haya, "ONYESHA" na "ONESHA" kwani huwa yanawachanganya sana watu. Mfano mtu anasema "Juma ametuonesha mpira na mwingine anasema...
Niwetu, tumewatoa, Maungoni,
Ni wetu, tumewaleta, Ulimwenguni,
Ni wetu, tumewalea, duniani,
Ni wetu tumewabinafsisha.
Ni huria, tumewaacha, Sokoni
Ni huria, tuwachuuzia, hadharani,
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.