Nikiwa sehemu fulani nikakutana na neno "GAY" likitumiwa na sentesi ilikuwa hivi "and we'll all feel gay"nikakunja ndita nikasema hivi huyu mzungumzaji amekosea nini au atanataka kutuletea habari...
Kwanza niwapongeze kwa ushirikiano wenu mnaouonesha katika kusaidiana kwa hilo nawapa kongole. Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa kitanzania na nina uwezo wa kuandika mashairi ya kuhusiana na...
nimekuwa na shangazwa na mfumo uliopo tized kwamba kila teknolojia inatungiwa kiswahili chake, tena ni bora kingefuatisha ile lugha ya kigeni la hasha bali kina wanatafuta neno sijui kutoka kabila...
Kama mfuatiliaji mzuri wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania utaungana nami kuwa baadhi ya wabunge wamesahau majukumu yao na kulifanya bunge kama kijiwe cha mabarobaro amboa kwao lugha za(...
NIPENDE HIVI NILIVYO
nipende hivi nilivyo sinambie nibadili
ili niwe utakavyo,nikuridhi yako hali
penda nywele nilonazo,kama nimefunga shungi
sinambie nende nazo,saluni kupaka rangi...
Nyerere aliwaita Kenya Manyang'au.Mpaka leo sijui kwa nini.
Lakini unaweza kuhisi maana yake ukiona current President wa Kenya(utajiri wa familly) yake.
Can you imagine baada ya uhuru,Nyerere...
{Mmoja wetu punguani, ana matobo kichwani
Alipofika duniani, mbingu purukushani
Tangu hapo tafrani, amani hapatikani,
Amani si amani, anadanganya punguani
Filosofa wa Kundavi, Dotto na wengine...
Binafsi nimechukizwa na tabia au mwenendo wa TATAKI na BAKITA kuwaaminisha wazungumzaji wa kiswahili hususani wa Tanzania kwamba kila neno la sayansi na tekinolojia lazima lipate kisawe chake kwa...
SISIMIZI!
Si mkubwa kama temba lakini ana udhia
Ni mdogo mwenye mambo Kidudu kisosikia
Ficha hata kwenye tumbo Ujue ataingi
Sisimizi kanishinda Sijui nifiche wapi.
Atambalia vitamu Vikali...
Wakuu heshima kwenu!
Nahitaji msaada nikikumbuka enzi zile za hadith machozi yanataka kutoka sis tulio weza kusoma hadith mbalimbali leo hii katika ulimwengu wa sasa hatuoni watunzi mahili kama...
Wakuu heshima kwenu!
Nahitaji msaada nikikumbuka enzi zile za hadith machozi yanataka kutoka sis tulio weza kusoma hadith mbalimbali leo hii katika ulimwengu wa sasa hatuoni watunzi mahili kama...
Wakuu, kwanini tunasikia vizuri sana kingereza cha kwenye movies kuliko mabosi wazungu ofisini???
Yaan kwenye movie, unasikia kila kitu, lakini ukikaa na bosi wa kimarekani ofisini, husikii kile...
Ndiyo ni hiyo sentensi......."Between the line", nimeona mara nyingi inatafsiriwa kwa Kiswahili
kama "Katikati ya Mstari". Je hii ni sawa kwa kuangalia maana halisi ya neno hilo kwa Kiingereza?
Au...
Nimekuwa nikisikia kuwa kulikuwa na mjadara kuwa Lugha ya taifa iwe ni kisukuma eti kwa sababu lugha hiyo imekaa vizuri na inamisamiati mingi.
Hivi ni kweli?
Kumekuwa na majina yasiyo rasmi na yasiyotambulika na umoja wa mataifa ya nchi mbalimbali ambayo yanatumika kwa wingi hapa nchini.
Mfano kama ifuatavyo;
1. Marekani (United States)
2.Uingereza(...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.