Nipo maaeneo fulani hapa nimejipumzisha kama kawaida baada ya mishe mishe. Jirani yangu kuna kijana kakaa na mambo yake. Akatokea kijana mwingine ambaye anafahamiana na kijana ambaye yupo jirani...
ndugu wanajamvi kuna misemo ming nimekua nikiisikia mtaani toka utoto wangu mpaka utu uzima wangu lakini nilikua sijali kabisa sababu nimesoma nje ya nchi kwa kipind kirefu nili hic hayaniusu...
Habar wana JF. Ulishawahi kujiuliza sifa za lugha Yoyote Maarufu Duniani? Au Ili lugha iweze kuwa Maarufu, wajua moja ya sifa!? Ntazungumzia KipengEle kimoja tu cha Kujitosheleza Kimsamiati na...
wadau,kulingana na mambo ninayofanya,najikuta nadeal na hawa watu sana,nahitaji kweli na niko serious sana kujua kuongea na kusoma kichina na kikibosho,tafadhali sana niko tayari kulipa hata fees...
Habari wadau wa jukwaa hili!
Naomaba kupata mawazo yenu na tuwe honest. Hivi mnahisi lugha ya kufundishia ikiwa kiswahili kuanzia chekechea hadi chuo tutaweza kuhimili ushindani katika nyanja za...
naomba mwenye ujuzi wa hli neno anipe msaada, maana linanipa utata, nasikia wanawake wakiimba harusini, na wakati mwngne m2 akpendeza huambiwa ametoka kimasomaso.
Mwngne akaniambia kimasomaso ni...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar amesimamishwa uongozi wa ukurugenzi kwa tuhuma zenye harufu ya kifisadi na kutowajali waalimu wanaofundisha kiswahili katika...
Ni ipi maana ya msemo huu ktk lugha yrtu tukufu ya kiswahili
|"""The old saying, "Cleanliness is next to godliness," suggests that if you maintain personal physical, moral and environmental...
Ndugu wana jamvi...nimekuwa nikijiuliza sana maana ya hili neno...lilitumia word formation process ipi na lilikusudia kubeba maana gani????
SECRET-siri
ary-ni kiambishi cha nini???
je...
Sentensi ifuatayo ni ngumu kwangu kidogo kuilewa na kupata maana yake, nilikuwa naomba kama kuna mtu anayeweza kunitafsiria, Natanguliza shukrani zangu!
"an indulgence is the full or partial...
Mfano,.."I can't be totally Useless, but i can be used as a bad example", "Blessed are those pure in heart as they shall see God"."Blessed are Heart that bend, but shall never break".."Pesa...
Some persons simply refuse to grow old. I like that eighty-year-old man who told me:
Whats wrong with being eight years old? It is not how long you have been around; it is what you have done...
Be Precise
To be precise means to be accurate and careful about what you do or say. Your written work can never be excellent if it is filled with inaccurate information or typos. These may seem...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.