Life is not always gentle-far from it. From time to time, it will handle you disappointment, grief, loss or formidable difficulty, often when least expected.
But never forget you can surmount...
Habari wadau,tujibrash kidogo mambo ya possessive case
Possessive case
A: The case endings for the possessive case.
1.s is used when singular nouns and...
neno mapovu nimekuwa nikiilisoma mara kwa mara humu JF,hasa kwa wachangiaji wengi huwa wakilitumia.
mfano usilete mapovu yako hapa!!!! toa mapovu yako hapa!!,n.k. je ,huwa linatumika kwa usahihi...
Juzi katika bunge letu mheshimiwa Tundu lisu alitumia neno 'kutongoza wapiga kura', sasa baadhi ya wabunge wa CCM wakamshutumu kwa kutumia neno hilo.
Nawaomba wajuzi wa kiswahili kuliweka neno...
Heshima kwenu wakuu.tumekua na mabishano na wenzangu hapa kazini kwa mda mrefu sasa kwani kila mtu amekua akitoa tafsiri yake katika hili.
Issue ni hii.
Neno mboga tafsiri yake ni ipi?maana...
Wana jamii forum naomba tafsiri ya kiswahili sanifu cha neno la kiingereza la pay row. Mn nimeulizwa na staff mate wangu (ni mwingereza tena wa rangi nyeupe) nikapata aibu kutofahamu neno mbadala...
Naomba maoni yenu wanajamvi.
Hivi peni na penseli ni maneno fasaha ya (pen) na (pencil)? Kuna neno Kalamu hutumika kumaanisha hivyo vitu viwili. Peni huwa ni kalamu ya wino na penseli ni kalamu...
KUKU WA KIENYEJI NA KUKU WA KIZUNGU – INSHA
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna kuku wa kienyeji na kuku wa kizungu; na katika watu wanaopenda kula kuku basi wapo wanaopenda ladha ya kuku...
Kwa wale mlioangalia kipindi cha NIRVANA EATV, yaani huyu demu hata kama mawazo yake ni kuongea kiingereza ndo aonekane bab' kubwa, nadhani ingekua safi kama angepiga msasa kizungu chake kabla ya...
Katika kusoma magazeti ya kiswahili nimeona waandishi wengi wanapozungumzia vita sentensi huwa mfano:"Vita ya pili ya dunia" badala ya "Vita vya pili vya dunia" sasa wanaForum hebu tufahamishane...
Kila nikisikia hii habari huwa natafakari ni kwanini iliitwa hivo na sipati jibu. Sio uhusiano wowote na wala hata ukizingatia jina la kweli la mahala ambapo panafanyiwa uchafu huo haufananii na...
Kuna misemo mingi ya kiswahili ambayo tumeipokea kutoka kwa mababu na viongozi wetu wa kitaifa. Misemo mingine imekuwa inatafsiriwa au imekuwa ikileta maana tata. Tujaribu kuitazama kiundani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.