Keki kavu hupendeza sio yenye maji ndani,
Utaila unacheza ngoma haionekani, Kama utajilegeza utaomba hadharani,
Haikwami ukimeza mambo hua burudani,
Kwa kweli yanishangaza utamu hadi ndotoni...
Habari wanajamvi!!
Nimekua nikifatilia sana maswala yahusuyo lugha yetu adhimu ya Kiswahili na mara nyingi huwa najaribu
kutafuta majibu kwanza mwenyewe kwa Misamiati mingi ya lugha, unakuta...
Hii ni English Ya Mwanafunzi Bora Wa Form4.. Akimwambia Mzungu Ugumu Wa Kupanda Mlima Kilimanjaro Sababu Haujanyooka Moja Kwa Moja:
SIR,TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT A PRESIDENT JOB BECOZ...
wanajamvi naomba mnijuze maana ya msemo huu "atangazaye nilimo si mwana wa liwali" nimeusikia leo prof kabudi wa udsm akiusema katika mahafali ya chuo cha usimamizi wa kodi tra-ita
Nimesikia redio za hapa nchini (Mfano za Rev. Dk G. Rwakatare na Rev. Mtume Ephata) kutumia neno "Kumwambukiza" mtu uwezo au kipawa cha kufanya miujiza au upako. Je ni kiswahili sanifu?. Neno...
Imekuwa ni kawaida kusikia watu wazima wakijiita yatima eti kisa ni kufiwa na wazazi..........Ninavyojua mimi msingi wa uyatima unaanza pale ambapo mtoto anapofiwa na mzazi/wazazi wakati akiwa...
Wakuu
sio kwamba nimekosea jukwaa ila naona hili linahusika sana humu pia
mara nyingi sana kwa sisi watz utakua akiwepo mzungu mmoja au wawili au watatu lugha inabadilishwa tunaongea kiingereza...
Enyi wadau wa Kiswahili. Habari zenu? Nawasilisha hapa misemo hii ninayoisikia kwenye radio na tv na kuisoma kwenye magazeti (hata hapa JF) na napata shida kuielewa.
Naanza kuzungumzia moja baada...
Baraza la Kiswahili la Taifa limezitaka mamlaka zote zinashughulika na kucimamia teknolojia ya habari (Tehama) pamoja na vyombo vya habari (ikiwa ni pamoja na JF) kusitisha matumizi ya maneno...
Wakuu
sio kwamba nimekosea jukwaa ila naona hili linahusika sana humu pia na nitairusha pia jukwaa la sheria
mara nyingi sana kwa sisi watz utakua akiwepo mzungu mmoja au wawili au watatu lugha...
Ni karine nyingi sana tangu afrika mashariki ilipoanzisha msemo wa lunga ya kiswahili. Na hii ilisababishwa na muungano wa wageni nchini na wenyeji.
Tangu wakati huo, lugha hii ilichukuliwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.