Salaam,
Mara kadhaa nimeshiriki/inawezekana nawe pia umeshiriki katika mjumuiko wa watu wenye kueleza/kutoa maoni, majadiliano, elimu n.k lakini hasa inakuwa shida kutambua nini hasa...
RIWAYA YA ''UTASHI NI MTU''
Baada ya kuzitazama zile nyasi zinavyopendeza mwituni ili hali kijana ''Bano wa masaa'' akiwa hana viatu vya kumkinga na miiba na dudu washa waliosheheni msituni...
Wadau nimekuwa nawafuatilia sana watangazaji wanaoripoti kutoka Kinshasa na kwa hakika kiswahili chao ni cha kukufanya ucheke! Ebu angalia mifano hii kisha na wewe utupie ulichosikia:
1.Askari...
Nimeikuta kule Facebook, Mheshimiwa akishambuliwa na vijana wa Face book.Naomba wataalamu wa lugha njooni mumsaidie MSOMI DARAJA LA KWANZA katibu msaidizi wa magamba na mapungufu yake ya ku...
When you have failed, your first step is to forget. The second is never to settle for it; never accept a failure.
Then go right back at it again. Extract what know how you can. Never say:well.I...
Waswahili wana msemo wao unasema " Yaliyopita Si Ndwele " Swali langu ni " NDWELE NI KITU GANI?. Nasubiri kusikia kutoka kwenu wana JF.
" Mpango wa Mungu kwa wanadamu...
ndugu zangu naomba kuuliza maana ya neno 'career' kwa kiswahili.
je, kufanya biashara inaweza kuwa ni career kwa mtu anayefanya biashara? kwa mfano, mimi ni mfanyabiashara wa nguo ninaweza kusema...
Kwa jina lake manani, muumba wa vyote vitu
Mola aso mfanani, halinganishwi na mtu
Amenipa mtihani, na leo si mali kitu
NINATANGAZA MSIBA , MAMA AMENITOKA
Kwa 'kwikwi' najililia, msiba...
We are in the year 2013 but may be you are still in year 2012 and you know no. How true can this be, when a new year comes what exactly change? Most of the time date changes, some remain constant...
Kisa cha watu wa pangoni, yaani kwa lugha ya kiarabu ashaabul-kahfi, ni miongoni mwa visa vikongwe katika historia ya dini na maisha ya mwanadamu. Kisa hiki ambacho ni moja ya visa vingi...
Nimeshuhudia hii "h"ikiongezeka kwa kasi mahali isipohitajika. Kwanza ilianzia kwa wanamuziki wa bongofleva na sasa inaunguruma kote mitaani haswa kwenye kuandika ujumbe wa maneno kwa kutumia simu...
Naomba kuwashirikisha hii inayopatikana katika dunia ya karne ya 21 ambapo
Phones-wireless
Cooking -Fire less
Car -Key less
Food -Taste less
Youth-Jobless
Leaders-shameless...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.