Hamjambo.
Tafadhali mnisaidie kueleza kwa ndani zaidi tofauti za matumizi ya maneno yafuatayo:
Shindano/Mashindano - Mchuano/Michuano.
1) Kamusi ya Kiswahili-Kiingereza (TUKI)...
Habari za leo wajameni naomba anayefahamu fonimu za kipare(a,b.ch,d......) anisaidie na jedwali la mahala pa matamshi na namna ya utamkaji.
Pia kama unajua source yoyote nayowezapata material...
kuna kizungumkuti kwenye kutumia neno DIGITAL kwa kiswahili hasa kipindi hiki tunapotaka kuanza kutumia mfumo huo
Baraza la Taifa la kiswahili litusaidie katika hili kwakuwa hata Tume ya...
Leo nilikuwa kwenye ibada, ikawepo haja ya kutafsiri neno "Ghost" basi mhubiri akasema "Mzuka"... mbona miguno na vicheko vilitawala!
Nikawa najiuliza mhubiri hajui kuwa "Mzuka" ina maana...
Ewe sheikh ndugu yangu, hii dunia ya Qawi
Utazame ulimwengu, likutakalo haliwi
Ndio kalamu ya Mungu, viumbe hatuijuwi
Bahati yenda kwa muwi, wema wakalia ngoa
Bahati imegeuka, watatu...
Katika hali ambayo inaleta matumaini makubwa kwa wapenzi wa lugha ya Kiswahili, taarifa wkamba Dkt. Metho Samweli amefanikiwa kuandika thesis yake ya PhD ya somo la Kiswahili kwa lugha ya...
Kuna ndugu yangu kanitumia hii niibadili kwa kiingereza nimeshindwa hivyo nahitaji msaada wenu ktk kuitranslate from kiswahili to kiingereza "baba mimi ni mtoto wako wangapi?...naomba nisaidiwe...
Wakuu hivi neno "kuaga" lina uhusiano na matendo ya kichawi?
Ninauliza hivi kwa sababu hivi sasa kuna mjadala wa moto unaoendelea kwenye jukwaa la siasa kutokana na Mheshimiwa Zitto kusema yeye...
account is maintained in the books of accounts;
neno maintained au to maintain katika muktadha wa finance au accounting kwa kiswahili neno lake ni lipi.
maana ya neno goodwill kwa kiswahili ni ipi?
Nimekuwa nikiyasikia sana haya maneno kwenye vyombo vya habari hususan timu fulani inapokabiliwa na mechi ngumu na leo asubuhi nimesoma pia gazeti moja limetaarifu kwamba ti Timu yetu imeapa kudia...
Kuna msanii mmoja ameimba "mbuzi wa masikini hazai labda atage mayai",je usemi huu una maana gani hasa maneno yaliyoongezwa "labda atage mayai". Msemo uliozoeleka ni mbuzi wa masikini hazai.
hi.am kaniki. swahili is now the most killer in drc.ukimwi ina afazari. so way?wa congo wanaitaji help that help is to bring swahili educare in kinshasa specialy. a'v got a raison to say festily...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.