Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
TENDE: Tende hii maalumu yenye utamu Wa shani, Tende hii tafauti nazile zamadukani, Tende hii si adimu imejaa mitaani, wazee hadi vijana wote wanaithamini, kwayule alojaaliwa anaimiliki ndani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama unataka kumuuliza mzazi wako swali lifuatalo: "Baba, mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?", Utasemaje kwa Kiingereza? Msaada tafadhali!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi ni nani anadai kuwa kiswahili ni RAHISI?Kiswahili ni moja ya lugha ngumu zaidi ninayoifahamu. Kama unabisha na hutaki kukubaliana na Bazazi; Hebu jaza sehemu zilizoachwa wazi kwa kutumia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi neno baka(T) linahusiana kibaka?na kama ndio mtu akibakwa anaweza sema amebakwa na kibaka?na mtu akiporwa kitu na kibaka atakuwa amebakwa na kibaka.?na yule mbakaji kwa nini hatumuiti...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nataman kujua kilugha changu cha kinyakyusa jaman,the bad thing is naskia tu kuitikia sasa kimbembe..sina bibi,babu nor aunties wakunifundisha basi naishia kudakia hicho hicho cha baba na mama...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Wakuu ni muda sasa tokea niache kutunga na kusoma mashairi ila naamini hiki ni kipaji ndani yangu naomba wote wenye uwezo wa kutunga na kuimba mashairi tujitokeze hapa kuweka mashairi yetu ili...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Jana usiku nilikuwa naangalia taarifa ya habari star tv,ambapo kulikuwa na habari ya mtoto michael lazaro ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi nyegezi b(mwanza) akimtafuta baba yake mzazi...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Nataka tu kujua maana halisi ya kugegeda!
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Natamani kujua bauxite ninini?je ni madini,,naskia na nimesoma yanapatikana same,na ni bei gani yanauzwa?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Just down the memory lane nimekumbuka terminologies hizi tulizojifunza enzi zile za TANU & ASP na baadaye mwanzoni kabisa mwa CCM. Sijui kama bado zipo na kama zipo zina maana zenye nguvu kama za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
constant rate delegate authority i share grief
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naomba kusaidiwa mzandiki maana yake nini?
1 Reactions
1 Replies
3K Views
BARAZA LA KISWAHILI LIMETANGAZA NA KUTOA UFAFANUZI JUU YA MATUMIZI YA kingamuzi na dijitali... Maana Decoder ni kisimbuzi na sio kingamuzi kama ilivyozoeleka kwa wengi dijitali ni dijiti au a-...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kama kawaida kwetu wahaya tena nawaletea jina la mwaka mpya 2013 WEBANGE alwekyo twaija kuluga omuli WECHONCHE twechonsile muno twamala mbwenu twagya omuli WEBANGE KWAMBA ; SIMAMA IMARA...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
hivi ni lipi sahihi hapa: mwanamme anamuoa mwanamke au wanaoana?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani kwetu sie waja leo waondoka leo twasema MKAZA MJOMBA.Nimehamia hapa Dar neno hili silitamki eti ni matusi kwa sababu ya neno 'KAZA' Napenda kueleza kuwa neno Mka maana yake mke wa na kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa wataalaamu wa Kiswahili, Ni kwamba hawa jamaa wa ndege zenye kutoza nauli ya mabasi (sina uhakika sijathibitisha hilo) yaani Fast jet wana mabango yao yanayosomeka "Hembu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
kati ya anayesema 'nyimbo' yangu nzuri na ' wimbo' wangu mzuri nani yuko sahihi na kwa nini?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kila nikisoma maoni ya wanangu kwenye uga huu nakutana na maneno mawili yanayonipa shida. Maneno haya ni dushelele na magamushi. Wenye kujua maana yake nipe elimu baba yenu maana ni muda mrefu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamanii wadau ama kweli lugha ya kiswahili kila kunapokucha inazidi kukua na kuongeza msamiati.je wajua kuwa 'laptop' inaitwa ngamizi paja? Nisaidieni wadau msamiati wa kiswahili unaooshiria...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom