Jamani wadau wa elimu, tunashangazwa na hawa jamaa wa TATAKI UDSM eti wanatunga vitabu vya sekondari kwa kiswahili kama njia ya kukuza kiswahili wakati mitaala ya kufundishia kwanza hakuna...
Jamani, inasikitisha kuona kwamba bado tunaendelea kupotosha jina halisi na lugha fasaha ya kiswahil kwa hiki chombo kinachoitwa Decoder kwa kiingereza. Decoder kwa kiswahili fasaha ni KISIMBUZI...
Heshima kwenu wakuu!
Nauliza, hivi kwanini raia wa nchi jirani ya Rwanda wanajulikana kama Wanyarwanda na si Warwanda?
Ebu angalia majina ya raia wa nchi zifuatazo wanavyotambulika kutokana na...
Watu wengi hasa watangazaji wa redio na TV wamezoea kuitaja timu ya YANGA kama Young Africa badala ya Young Africans. Ijulikane kuwa Africa ni bara na Africans ni waafrika. Wanapoitaja timu ya...
Malonyalonya
Nguo za mtumba ambazo huuzwa katika furushi la jumla na kwa bei moja bila kujali ukubwa au aina ya nguo. Nguo hizi mara nyingi huhitaji marekebisho ya vipimo ili yaendane n aumbo la...
Wakuu, kuna misa ya Mwaka Mpya inaendelea sasa hivi Rome na kuonyeshwa live na kituo kimoja cha televisheni kiitwacho EWTN. Misa inaendeshwa kwa lugha ya Kilatini lakini nimefurahi sana kumuona...
Akichangia hoja ya Waziri wa Elimu , hivi majuzi Mhe. Tundu Lissu, namnukuu ;
"Huu muswaada aliouleta waziri hauna mantiki wala tija yeyote ktk Elimu ya Tanzania. Hii ni sawa serikali iliopo...
1.Gari la kuvutwa hali overtake.
2.Hata uwe na bahati vipi hauwezi kuokota nyumba.
3.Mganga wa jadi haagizi tembele.
4.Wimbo wa taifa haupigwi disco.
5.Kandambili haipigwi kiwi
6.Usiteme Big G kwa...
Bahati haina kwao popote inathibiti
ili niwe na upeo nasubiri siipati
moyo nimesema nao isipokuja sijuti,
sihusudu wapatao ingawa mimi sipati
sihusudu wenye vyao siihimizi bahati
toka kale hadi...
wana jf,tunabishania kuchinja tu.baada ya kupewa maelezo na mzee wangu mmoja nikaenda kwenye kamusi nikakuta maana ya kibudu.1.mnyama alikufa bila kuchinjwa,mzoga,nyamafu anayeliwa.2.kufa bila...
Nimesikia mara nyingi Spika au Mwenyekiti wa vikao vya Bunge akimwambia Mbunge: Kaa chini! Maneno haya yanasemwa kwa ukali kidogo kuonyesha uzito wa mamlaka alio nao spika au mwenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.