inakera mno watumiaji wa kiswahili, kwa waswahili kutumia maneno ya kiingereza na kuita ni lugha ya kitaalam! jamani bakita mko wapi? hata roadblock ni lugha ya kitaalam? wabunge mawaziri viongozi...
Hello Comrades!!! It be said frankly that if one wants to learn something he or she must be curious and inquisitive... ofcoz,i genuenely want to learn english,i think the time when i will be able...
jamani msaada wenu kwenye maswali haya1)kwanini wamahiri wa lugha zaidi ya moja umahiri wao hauendi sambamba?2)jadili nafasi ya misimu ktk kiswahili sanifu?3)eleza uamilifu wa viambishi ktk vitenzi?
Kuna watu ukiwashukuru kwa kusema "asante" wanasema "karibu". Bila ya shaka hawa wanatafsiri kutoka Kiingereza pale mtu anaposema "thank you" na anajibiwa "you are welcome". Lakini kuna wengine...
Kila ninaposikiliza redio au kutazama TV nshtushwa mtamshi yasiyo sahihi ya baadhi ya maneno. Tatizo hili wengi mtasema linatokana na lugha asili za watangazaji hao lakini kwa upande wangu naona...
Hi members,I decided to put this thread under this forum for a reason.Though the contents can be used by any human being.Just in case you do not know we make decision all the time,some are simple...
Hapa ni dirisha la kuweka na kutoa pesa katika benki ya CRDB nchini Burundi...kwa kutumia uzoefu wako wa kutembelea matawi ya benki ya CRDB hapa Tanzania tuambie maneno haya yana maana gani kwa...
Ninasikiliza radio na kutazama sana tv. Watangazaji wengi wa tv na radio wanatumia lugha kwa namna ambayo
inanipa mashaka kwamba kwenye vyuo vya uandishi habari hakuna somo la lugha kiswahili/...
Huwa najiuliza hivi lugha zote hapa duniani zina aliyezianzisha? Kama pana mtu ajuaye kuwa labda Kinyamwezi kaanzisha mtu fulani naomba kufahamishwa.
Nimeonelea kulisema hili maana pana juhudi za...
Bila shaka nyote mmesikia kuhusu vurugu na mauaji yanayoendelea huko Garissa, nchini Kenya. Japo nakashifu tendo la wanajeshi kuwavamia wakaazi wa eneo hilo, nasikitika kuwa huo ni mwiba wa...
Lugha za mtaani/kitaa au maskani.
Mpige tero-Msachi/mkague.
Njiti-Shilingi 100
Bati -sh 200
Barida-( tuliza/tulizana)
Chali-vijana wadogo wadogo wanaolingana umri
Nyoka-dogo ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.