Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Badili kwenda lugha ya Kiingereza: "Ndondondo si Chururu".
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wakuu! kama mnavojua hii lugha ya waingereza ilivokuwa ngumu hasa kwetu tuliosoma st Kayumba.. Naomba mwenye GRAMMAR CHEKING(CORRECTOR) software anisaidie. asante
0 Reactions
0 Replies
245 Views
kwa dar wapi ntapata hiyo sehemu ambayo itanifanya ndan ya mwez mmoja nijue kuandika na kuongea vizuri hiyo lugha,mwenye kufahamu anijulishe,asanteni
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Obama Barack mwana Obama, ushindi nakutakia Na pia uwe salama, hilo nasisitizia Najua si lelemama, kwa Mungu nakuombea Ushindi twakutakia, Barack mwana Obama Ushinde hiyo Novemba, wabaki...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Je unataka kufahamu au kuboresha lugha ya kiingereza? tunafundisha lugha ya kiingereza kwa matamshi ya kiingereza au kwa matamshi ya kimarekani. karibu kwa ajili ya huduma hii bei yetu ni nzuri na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Elezea mitazamo mbalimbali kuhusiana na chimbuko au asili ya lugha
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Hello wadau wa jukwaa hili,ningependa kushare information kidogo on Phrasal verbs.Hizi zinakuwa kama nahau kwa kiswahili,namaanisha maneno yaliyotumika yanakuwa na maana tofauti na ile tuliyoizoe...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Wanabodi, Hebu leo tujadili mwelekeo wa lugha ya Kiswahili na hasa tukiangazia ukuaji wake kwenye msamiati na istilahi. Tunatambua kuwa lugha ya Kiswahili (pamoja na ukopaji na utohoaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naombeni mwenye nakala za hivyo vitabu anitupie hapa basi. Ahsanteni
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Swala linatumika sana Tanganyika ingawaje siku za karibuni nimeona matumizi ya suala badala ya swala yakiongezeka sana Bara. Wenzetu wa visiwani wanatumia suala. Kuna maneno mengi yana tofauti...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Napenda sana kusoma yale tunayoandika humu JF (Pamoja na mabandiko yangu) na wakati mwingine hujipa muda wa kutafakari kama kweli sisi kama ndiyo wahifadhi na wamiliki halali wa Lugha ya kiswahili...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau ni hivi naomba kuuliza maneno haya katika vyuo mbalimbali vya mafunzo ya kijeshi yana asili ya wapi kama vile KADEBLA,DOSO,nk mengine mnaweza ongeza
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninaomba translation ya sentensi hii kwa lugha ya kiswahili fasaha: New Solutions to Challenges of Medical Care in Tanzania
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nalikuta maana nyingi limetumiwa katika sentensi kama hii hapa chini..... chambilecho wasemaji wa kiswahili.."hata mbuyu ulianza kama mchicha"
0 Reactions
9 Replies
15K Views
Talk a Talk and Walk a talk
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Do 1. Form Principal parts: do-did-done Present tense: Affirmative Negative Interogative I do I do not(don’t) do I...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
2 Reactions
15 Replies
6K Views
kuchoreka kushoboka maunguli (wa filamu) Na pia eti kuna gari TZ linaitwa Skylet/Scarlet? Asanteni! :)
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuchambwa au kuchamba naona linatumika mno na kina mama hasa kwenye mipasho je ni neno sahihi nje ya toilet? na usahihi na maadili yake kutumika ukoje?
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Morning JF People na wakereketwa woote Jamani, as u know JF is not only the home of great thinkers kama mm but pia ni kituo cha kupata maarifa na kujifunza mambo mbali mbali..sasa mm nimeamua...
3 Reactions
19 Replies
9K Views
Back
Top Bottom