kumekuwepo na matumizi mabaya ya maneno kama: tafsiri,kalimani,fasili na ukafsiri katika lugha ya kiswahili kwa watu wengi,hasa maneno; 'Tafsiri na Fasili'. zifuatazo ni dhana zake na matumizi...
jamahani mm ni mpenzi sana tena sana cha lugha chetu takatifu cha kiswahili.
ila mm ni mcongo drc.jana nilikuwa pande za mwenge.nikasikiya jambo ambae
sijahelewa mpaka sasa.ni ivi kuna mkaka ambae...
Ni Bernard James na Sauda Mwilima wote watangazaji wa Star Tv. Bernard James wakati mwingine anatangaza michezo na Sauda siku zote ni kipindi cha Bongo Beats. Wote wawili wanapenda sana kutumia...
Nimevumilia nimeshindwa sasa nimeamua kusema very objectively ili wanaohusika ambao najua huwa wanapita huku wachukue hatua stahiki kutuondolewa kadhia hii kwani si kilema. Nimekuwa nakereka kweli...
Today is the actual result of the effectiveness of your plan. If you fully utilized each and every hour available yesterday, then you have done all you can to maximize your possibilities for...
Habari wanajamvi.. Leo mbele yenu napenda kujuzwa kiswahili halisi cha neno "HIGH SCHOOL"
Sijajua kama swali hili lilishaletwa ila natanguliza shukrani.
kasema habari zenyu bhaaana!!?..halafu kamalizia kwa kusema asante, asanteni sana. pamoja na kujiforce kuongea kiswahili lakini mwenyeji wake mwanzo mwisho wa hotuba yake hajaongea neno la...
Kwenu wana JF,
Nimekutana na utenzi huu ambao unaonekana kama ni maongezi.Nimetamani kujua kwamba hii LUGHA gani ni nini Theme ya hii debate au hii sehemu ya Igizo.Kwa anayejua naomba anisaidie...
Tulipambana wote
Tuliumia wote
Tukajikomboa wote
Wewe mwenzangu ni mzungu?
Tulililia usawa pamoja
Tulitaka elimu ya umoja
Tulilitaka taifa letu liwe moja
wewe mwenzangu umekuwa mzungu?
Umoja...
In a thread kule MMU, kuna dada amesema
she has slept with more than 120 men so far.
Huyu member kaja na post hii:
you very sorry!! u was try to check HIV? I want to met you can you proceed it...
Neno "MPUMBAVU" limekuwa likileta tafrani kubwa sana katika siku za hivi karibuni. Nimeona niweke hapa maana sanifu la neno hili.
MPUMBAVU - Mtu anayeshindwa kuelewa jambo hata akielezwa, juha...
neno mpumbavu ni kaka yake na neno mjinga. Kuna watu humu wanasema kuwa Sugu amemtukana waziri mkuu pinda mimi nasema hapana hajamtukana, mtu ambaye hanafanya mambo ambayo hayaendani na utuuzima...
Can you notice the difference if for example you are signing a contract which may contain one of the following two statements?
1. You will have to pay a one-off subscription fee
2. You will have...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.