Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Chemsha bongo kwa kutafsiri vishazi vifuatavyo kwa Kiingereza: 1. Tumepata msiba nyumbani. 2. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo 3. Mtoto wa nyoka ni nyoka
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ndugu wanajamvi, nikiwa naangalia muvi moja ya kibongo nimekutana na msemo huu,..jamaa alikuwa anaomba ushauri kuhusu jambo fulani na rafiki yake asema hivi..."kichwa chako ndio serikali yako" na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace"...
3 Reactions
159 Replies
13K Views
Tafadhali naomba wajuzi wa lugha yetu adhimu ya Kiswahili, wanipe maana za maneno haya ya Kiswahili, ikiambatana na mifano. 1. Utani 2. Mizaha 3. Masihara
0 Reactions
0 Replies
14K Views
muhtasari ni nini?
0 Reactions
1 Replies
6K Views
habari? naomba kujua hawa viumbe wanaitwaje kwa kiswahili 1. tiger prawn 2. orange crab 3. tuna. natanguliza shukrani. cc Kiranga, Gaijin Nyani Ngabu @ the boss....... etc
0 Reactions
2 Replies
973 Views
what do you know about LOVE?unajua nini kuhusu UPENDO na KUPENDA?Katika nyanja ya MAPENZI.
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Natarajia vyombo vya habari ndio viwe dira ya kuonesha njia katika matumizi sahihi ya lugha, lakini ukisikiliza unakuta ni madudu matupu. mfano mdogo tu ni RADIO ONE! jioni huwa wanajiunga na BBC...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nimeomba kazi UNDP wakanibu hivi. May your day be punctuated with a revanchism whose magniloquence can only be theotropistically analysed by the use of a reminiscent excarbation.I hope you...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WanaJF, Tujasaidiane wadau, najua huo ni mkono wa kulia lakini kwanini uitwe ni mkono wa kuume? Je, hili nalo ni sehemu ya mwendelezo wa kuwanyanyapaa wamama? Kinyume cha mkono wa kuume ni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
ANAHITAJIKA MKALIMANI WA KISWAHIL/KINGEREZA KATIKA MKUTANO UTAKAOFANYIKA UK (LONDON) JUMATATU 15.07.2013 .KAMA UPO UK AU UNA MTU UK ANAYEWEZA KUFANYAKAZI HIYO .TUWASILIANE 0755912212 au...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kumekuwa na mparaganyiko katika hili, mara wengine wanasema ''SHEIKH PONDA ANATUMIKIA KIFUNGO CHA NJE'' huku wengine wakisema ''SHEIKH PONDA ANATUMIKIA KIFUNGONI CHA NJE''. Utata upo kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hivi karibuni, miezi kadhaa iliyopita tulishuhudia ugeni mkubwa hapa Tanzania, ujio wa rais wa China, Rais wa marekan, mkutano wa smart pack, lakn cha kushangaza badala ya viongoz wetu kutumia hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Neno sahihi la kiswahili linalo manisha signature
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nadhani waswahili tunachanganya haya maneno.Ninavyojua Kodi inalipwa unalipwa kama pango yaani unapokodi nyumba, chumba,eneo la kufanyia biashara au kama unapokodi kitu kama gari , nk. Na ushuru...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
What is the different between translator and interpreter au kwa Kiswahili nini tofauti ya mkalimani na mfasiri?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Natarajia vyombo vya habari ndio viwe dira ya kuonesha njia katika matumizi sahihi ya lugha, lakini ukisikiliza unakuta ni madudu matupu. mfano mdogo tu ni RADIO ONE! jioni huwa wanajiunga na BBC...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wadau naomba kujua maneno haya huandikwaje kwa kiswahili sanifu!(1)maka na madina miji inayopatikana saudi arabia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hey dears, It is the right time for us to expand our English language competence and performance at our own time by visiting different eng-language course webs. Here is one amongst. Auxiliary...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu wanajamii, Je, kuna kiswahili cha neno ''side effect''? Je, ni sahihi kusema ''side effect''=Madhara au Madhara tarajiwa? Hasa linapotumika katika muktadha wa kitabibu.(yaani Madawa au...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Back
Top Bottom