Hii kitu inanifikirisha sana.
Katika maisha yangu nimeishi katika mapito ya kuhustle sana kwa mbinde mpaka nimetoka kimaisha.
Mara nyingi nimeishi maisha ya kujitegemea tangu utotoni.
Sasa...
habari za jumapili wadau, naomba kufahamishwa matumizi ya mayyonise katika chakula.
- inatumikaje?
- ina faida gani?
- inawekwa katika vyakula vya aina gani n.k.
Ninapenda kula bamia kwa style hii, huweza kuliwa na wali, ugali au mihogo ya kuchemsha. Kwa kubadili ladha huwa ninaweka nyama ndani au minofu ya samaki hasa vibua.
Ninaakaanga vitungu na...
Wakuu leo nimebahatika kula msosi wa maana sanaaa.
Mayai mchemsho+ maharage yaliyoungwa.
Mara baada ya msosi huo nikashushia maziwa fresh kikombe cha nusu Lita hivi.
Kuna watu walionikuta...
Mapishi ya cake kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari inaandaliwje bila ngano nyeupe na sukari?
Nisaidieni mwenzenu napenda bites na cake sana lakini nashindwa kutengeneza maana nina sukari ya juu...
Mimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula...
Habari wana JF
naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza popcorn tam(sukari)..nko na mashine ya kutengenezea ila naishia tu kupika za chumvi sa napenda kuwabadilishia wateja wang flavour il...
Ndugu, nimewaza mpaka kichwa kinauma sijui nipike Chakula gani mchana Nile.
Naombeni msaada, shauri chochote bila kujali kitapatikanaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimechukua maziwa fresh from the bush(broken)maziwa hayajachakachuliwa kabisa.
Kisha nikayaweka kwenye friji yakapata baridii kiasi yale maziwa.
Alafu nikizima friji langu na maziwa yapo mule...
Wakuu habari za jumapili.
Naomba kuuliza.
Juzi ijumaa nilikua mjini kati Dar es salaam, nikakutana na jamaa yangu mmoja mwenye asili ya kiarabu niliesoma nae elimu ya sekondari ya juu ambae...
Mapishi ni ufundi unaokua kila kukicha ila wengi wetu tunachemsha hasa kwenye swala la kufanya msosi uwe na ladha murua na kapendeza...
Ningependa hasa nijue hivi viungo vinatumika kwenye vyakula...
Napenda sana kumtazama huyu jamaa siku hizi Chef Fred Uisso.
Jamaa anapika vyakula mbalimbali vya makabila Tanzania,kupitia yeye najifunza kuacha mapishi ya kuiga iga na ya mazoea.
Jamaa...
Wakuu heri ya mwaka mpya naombeni msaada mwenye utaalamu wa kuhifadhi njegere muda mrefu kama mwezi au wiki mbili bila kutumia fridge anipe maujanja maana fridge uchumi haurusu kwa sasa nimechoka...