Haya na Mimi nawaleteeni vyakula na Mapishi ya Kichina Enhoo Enho
Mapishi ya nyama slesi ya nyama ya ng'ombe na kiazi
Mahitaji:
Nyama ya ng'ombe gramu 200, kiazi kimoja?pilipili boga moja na...
Mchemsho wa Ndizi Kwa samaki
Ndizi mshare au ndizi kimalindi au za mbea tano(5) inategemea na familia yako
samaki nusu kilo wabichi sato itakuwa nzuri zaidi
nyanya moja
kitunguu kimoja
karori...
Importance of Green Salad in Your Diet
Green salads are an excellent source of vitamins, minerals and fiber, but people do not generally include salads in their diet. This is because they do...
jamani mi na mme wangu tunapenda sana kupika, na kila weekend hupenda kujaribu recipe mpya.
last sunday tulipika eggplant parmersan. ni chakula kizuri sana na kina virutubisho vya kutosha...
Fruit Mix/Matunda Mix
Hii ni aina ya uandaaji wa matunda ambayo hutengenezwa kwa kuchanganywa ukizingaitia aina ya matunda . Waweza Manipulate vovote mradi ladha usiharibu kutegemea na kuoana...
Peanut Brownies.. ( Ni kama biscuti za karanga )
ingredients
100 g Butter
150 g cater sugar
1 egg
200 g flower
10 g cocoa
2 g Baking Powder
100 g roasted peanuts
Changanya butter, sukari...
Mkate Wa Sinia - Mkate Wa Kumimina Aina Ya Kwanza
Vipimo
1 Kikombe Cha Mchele
1 Kikombe Cha Nazi Ya Unga
1 Kikombe Cha Sukari Kupungua Kidogo
1 Kikombe Cha Maji Au Maziwa Vuguvugu
1 Kijiko Cha...
Saladi Ya Majani (lettuce) Na Mapilipili Mboga.
VIPIMO
Saladi ya uwa (ya duwara).............. 1
Matango.............. 2
Karoti.............. 2
Pilipili kubwa la kijani hoho.............. 1...
Ugali Kwa Mchuzi Wa Nyama, Mchicha, Maharage Na Chatini.
Vipimo Vya Mchuzi Wa Nyama
Nyama ya ngombe vipande vidogo............... 1kg
Nyanya............... 1
Kitunguu...
Wajuao jinsi ya kuuandaa muhogo kwa ajili ya mapishi naomba mjitokeze kuwafundisha na wengine.
Leo niliuandaa muhogo wangu lakini aliyeula alisema umekuwa mchungu sikuuandaa vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.