Wadau walio wataalamu wa kupika mashed potatoes naombeni mtuwekee mahitaji yake hapa na jinsi ya kupika chakula hicho.Natanguliza shukrani zangu za dhati maana napenda sana hicho chakula ila...
Mahitaji
1/2 kg Mchele uliooshwa na kulowekwa.
1/4 kg Choroko zilizooshwa
1 cup Coconut powder
11/2 tsp Chumvi
Maelekezo
Chemsha choroko mpaka ziive, halafu bandika sufuria yako ya maji ya...
saves up to 10 persons
ingredients;
1/4 lit plain yogurt
1 lemon, juiced
3 garlic cloves minced
salt to taste
directions
In a small mixing bowl, combine yogurt, lemon juice, garlic, and salt...
Mahitaji
1. 1/2 kg cabbage
2. Corriender leaves.
3. Pilipili mbuzi au aina yeyote
4. Ndimu 3 au mapendekezo.
5 Maji 1/2 glass
6. kitunguu saum kijiko kimoja
Kata makabichi yako kama vile...
Habari zenu wa JF Chef naomba kwa anayejua jinsi ya kupika ndizi za nazi pia hizo ndizi ni lazima ziwe mbivu au mbichi?
Msaada kwa hilo wandugu..
Nakala; X-PASTER Lizzy AshaDii
aina ya kwanza
mahitaji,
KITUNGUU MAJI, SWAUMU, NYANYA ,KAROTI, NDIMU, HOHO, MAYONAIZI
UTAYARISHAJI
1.saga nyanya kwenye kikwangulio karori(greta wanaitaga)
2.saga na karoti pia,
3.kata...
Mapishi ya Kabichi
Kabichi 1/2 kilo
Nyanya ya kopo 1/2
Kitunguu 1
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Chumvi
Olive oil
Matayarisho
Kwanza kabisa bandua magada ya juu ya kabichi, kisha ioshe na...
Bado najifunza kupika keki hasa upambaji.
Hii ni keki yangu ya kwanza kabisa niliyopika na kuipamba mwenyewe.
Sasa hivi najua kupika flavour mbalimbali na kupamba zaidi ya hapa.
Sina mpango wa...
Juisi Ya Melon Na Embe
Vipimo Na Mahitaji
Tikiti la asali (honey melon)..............1
Unga wa embe au embe...................1
Tangawizi........................................1 Kijiko...
Jamani mie ndio nimetoka supermarket na nimenunua hiki kitoweo, tayari kukipeleka kwa mke wangu measkron aniandalie lunch...naombeni mnishauri nipikiwe vipi hiki kitoweo?
Mapishi ya supu ya matango ya baharini na pilipili manga
Mahitaji
Matango gramu 750, pilipili manga gramu 3, vipande vya vitunguu maji gramu 25, mvinyo wa kupikia gramu 15, chumvi gramu 4...
First artificial burger to cost £250,000
The Telegraph
Artificial meat created in a lab could be ready to eat within six months, scientists claim but the first burger will cost more than...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.