Habari zenu wapenda wa hili Jukwaa.
Naombeni mwenye kujua mapishi mbalimbali ya maboga anisaidie mie najua kuchemsha tu na maji kidogo pamoja na kutia chumvi kidogo.
Naomba mwenye kujua. p'se
Najua leo ni Valentines day, watu mmejiandaa na wapendwa wenu kutoka mara baada ya kazi ili mkabadilishane mawili-matatu,. sasa basi si vyema ukaenda outing yako ukiwa tumbo wazi, ni vyema ukaweka...
NGOJA NIWAPE HILI...NILIPIKA JPILI.
msinilaumu mimi napenda kuku bana .. so leo nitawafunza jinsi ya kuitengeza. ni rahisi sana na auhitaji kuwa mpishi mtaalam wa kupika na ni poa sana...
Wasalamu wote. Naombeni msaada kwa anajejua hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza nyama za soya pamoja na maziwa ya soya ili nipunguze kula nyama za wanyama na kunywa maziwa yatokanayo na wanyama...
kwa wazoefu jamani, nimeletewa zawadi ya halua na rafiki yangu, sijawahi kula hii kitu, kwa wazoefu halua inaliwaje maana naiona kama jelly like haieleweki eleweki hivi. Nawasilisha.
MAHITAJI
yogurt vijiko 2vya chakula
sukari 1/4 mug
hamira kijiko kimoja cha chai
iliki kijiko kimoja cha chai
samli kijiko kimoja cha chakula
unaweza tumia,maji/maziwa/nazi yapime katika mug...
Let me teach you how to cook Spaghetti (Macroni) Mixed with Eggs.
Warm the water.
Heat the sauce pan, put in cooking oil (the amount depends on the quantity of Spaghetti your cooking).
Slice...
Mimi kupika siyo tatizo, kwani nifundi kupita wanaweke wengi tu, tatizo nikuosha vyombo. Mbinu gani nitumie ili vyombo vilivyotumika kupikia na kulia chakula visikae zaidi ya masaa 5 bila kuoshwa.
1 kg Viazi mviringo/ulaya
1/2 kikombe unga wa ngano
1 kijiko bizari(rangi ya mchuzi)
4 malimau/ndimu au upendavyo
chumvi kiasi
6 ltrs maji...yakutosha kuivisha
Namna ya kupika
1)Chemsha viazi...
Wagoshi wa kaya kutoka Mombo, Lushoto.
Nimelila tunda hili , ni tamu sana na very natural taste. Jina lake niliambiwa likanitoka pale Mombo.c
Linaitwaje?c
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.