Mahitaji
Mahitaji ya kuku wa sandwich
1 kilo ya kifua cha kuku au miguu ya kuku toa ngozi ili kukwepa mafuta.
1 tangawizi kubwa
3 mbegu za pili pili manga
Chumvi kulingana na ladha unayotaka...
ramadhan Kareem ndugu zangu waislam popote mlipo.
wapendwa ninaomba kwa yeyote anayejua Kupika Ftari anisaidie maelezo ya jinsi ya kupika:
1.viazi vitamu vya Nazi na
Na iliki.
2.Zile tambi za...
KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI KABISA NA RAHISI YA KUANDAA WALI HUU WA MANJANO NA KWA GHARAMA NAFUU SANA FAMILIA YAKO IFURAHIE
MAHITAJI
1 au 2 Saffron ( zafarani ya orange)
4 kijiko kikubwa cha...
http://youtu.be/Uz2Vnp5ZW4c
Here's an eggs-cellent idea: A video from the Chinese site jifenzhong.com gives an easy how-to for separating a yolk from an egg. Mandarin knowledge not required...
Nothing should have to be confusing about corn. But your mom may have told you to boil it for ten minutes; your mother-in-law, for seven. Your dad may have let it roll on the stove until he...
​
MAHITAJI
360 gram Arborio Rice ( Risoto rice)
1/2 kijiko kidogo cha chai Saffron strands
2 kijiko kikubwa cha chakula siagi
1 kitunguu maji kikubwa chop chop
1 kijiko kidogo cha chai...
JINSI YA KUPIKA KUKU WA KUPAKA
Kuku katika mchuzi wa nazi)
viungo
kata kuku katika vipande 8
1 kijiko vitunguu
Kijiko 1 cha tangawizi
pilipili hoho 2
pilipili 2
Juisi ya limau vijiko 4
1/2...
JINSI YAKUPIKA KEKI YA ZABIBU KAVU
Tengeneza keki ya zabibu kavu kisha ongezea ladha mbali mbali kutokana na upendavyo fata maelekezo hapo chini
Mahitaji:
= 240gram zabibu kavu
=...
Wakiitwa wanaojua kukarangiza lazima na mie niende. Kwa mambo ya jikoni nimebarikiwa.
ukitaka vya kihindi utadhani nimezaliwa bombay,ukija vya kichina na Thailand achilia mbali vya Mexico na vya...
Fish green curry
(ingredients)
1. samaki mzima { kwangua na kata nyama ya juu halafu katakata viapande vidogo hakikisha hakuna miba}
2. vijiko viwili vya green curry paste (table spoon)
3.mafuta...
Mapishi ya kuchemsha doufu kwa mvuke ndani ya majani ya yungiyungi
Mahitaji
Doufu gramu 300, nyama ya kuku gramu 30, uyoga gramu 10, uyoga mweusi gramu 10, yai moja, vipande vya paja la ash...
......Leo na mie nawaletea kifungua kinywa, ni rahisi sana kuandaa na vile vile ni healthy.
Unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo,
-mayai 2
-vijiko 2 vya maziwa ambayo ni fat free.
-vijiko 2 vya...
Karibuni kwa Bibi yangu Singida>.
Mapishi ya Mlenda wa bamia na nyanya chungu
Mahitaji
Bamia (okra) 20
Nyanya chungu (garden eggs) 5
Magadi soda (Bicabonate soda) 1/4 ya kijiko cha chai
Nyanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.