Vipimo
Uwanga (corn flour)
¼ kilo (250g)
Sukari
2 kilo
Samli au mafuta ya kupikia
2 kilo 3lita
Hiliki
2 vijiko vya supu
Kungumanga
1 kijiko
Majani ya chai
10 vijiko au...
Mahitajiiliki
chumvi
mafuta ya kupikia
maziwa(2cups)
unga wa ngano mags 3
siagi(40gr)
sukari(80gr)
hamira(10gr)
yai 1
chungwa 1
Sukari ya juu unaweza tumia njia mbili ya kwanza ni
icing sugar...
Habarini wanandugu. Leo nataka kuwafundisha mapishi ya viazi vyakuchemsha. Ni chakula kitamu narahisi sana kupika.
Mahitaji
Viazi mbatata 6
Hoho 2 kubwa
Karoti 3 kubwa
Vitunguu maji 2...
afrodenzi,asante.nimependa hiyo ya kutoa pilipili mbegu manae wengine hupaliwa. nice one.
natamani kupata ujuzi wa grilling zaidi. kwenye oven ya jiko la gas niliweka samaki wa foil ikawaka...
jamani eh anayejua mapishi ya mbaazi za nazi zinakuwa kama keki vile maarufu sana mitaa ya Kariakoo na magomeni unafungiwa kwenye karatasi ,unaweza kusafiri nazo hadi hata Mbeya ni nzuri sana...
Ingredient
1/2 water melon
5 lemons
1 glass sugar
5 glasses water
Ice cubes
Maelezo.
Likate hilo water melon, ondoa magamba yake na tumba zake. Kata ndimu na kamua ili upate majmaji yake...
Pale Millenium Tower Makumbusho karibu na mgahawa wa Steers wana mashine ambayo hutengenezea Juice ni kama juicer hizi zetu lakini ni kubwa,unaingiza karoti na kuigandamiza hadi inatoa juisi,sasa...
Hii Kitu nimekula miaka 40 iliyopita wakati nilikuwa ninakwenda shule Mjini hapo Dares-salaam mpaka leo bado wanaichoma hapo mjini jamani nauliza?
Sukuma siku mbele.... Udenda unanitoka nime i...
Habari , ninapenda sana kupika mandazi, sambusa n.k ila nikishaivisha mandazi yanakua yamenyonya mafuta mengi sana, na ndani yanakua hayana nyama. Ninaomba mnijulishe...
Nimepata maelezo haya kutoka kwenye mtandao nahitaji nisaidiwe kutafsiri kwa kiswahili ili nikapike cake hii vizuri wapendwa.
Si unajuwa tusio na vitu kama mizani za kupimia hizi gramu zilizotajwa...
Nimekuwa mpenzi wa achali ya ndimu. Kwa muda mrefu naagiza au nanunua sehemu mbili tofauti jijini Tanga. Leo nimeona niombe msaada hapa JF niweze kutengeneza mwenyewe kwani napata shida...
Mahitaji
Mihogo kilo 1
Kidali cha kuku 1 kikubwa
Nyanya 1 kubwa
Kitunguu maji 1 cha wastani
Swaum/tangawizi i kijiko cha chai
Nazi kopo 1
curry powder 1 kijiko cha chai
Binzari manjano 1/2 kijiko...
chukua hizi tips za kuwahi kuandaa chakula..
Theres not always a great deal of time in the week to cook. Check out these time-saving tips that are often used in professional kitchens, but can...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.