Jifunze au ongezea ujuzi wa pishi la chapati ,wadau pishi hilo nimelikuta hukooooo kwenye blog ya Mange nikaona nililete hapa kwenu mnaweza pata chochote.
Kuna njia tofauti za kukanda chapati...
Insects are regularly eaten by as much as 80% of the worlds population, but even the very thought of it seems shocking to most people in the UK.
But as the global population continues to grow...
Carrot juice is the richest source of vitamin A. The body can easily assimilate this type of vitamin A. Carrot juice not only has a rich source of vitamin A, but this juice has a good supply of...
Kwa wale wapenzi,ndugu jamaa na marafiki mnaopenda kupata supu ya kichwa cha mbuzi habari hii inawahusu!
Jana nilipita baa moja nikakuta vichwa vya mbuzi vinaandaliwa kwa ajili ya supu,walikuwa...
To prevent egg shells from cracking, add a pinch of salt to the water
before hard-boiling.
To get the most juice out of fresh lemons, bring them to room temperature
& roll them under your palm...
SALAD YA KUKU (CHICKEN SALAD)
Leo nina waletea salad ya kuku.
Kama unavyoona pichani nina vitu vifuatavyo
1.chicken breast(nyama ile ya eneo la kifuani la kuku)
2.maharage machanga...
wakuu naomba masaada wenu!!yaani jiko langu (la umeme) limechafuka kutokana na mchuzi, unga, na lojolojo zingine zinazo mwagikia wakati wa kupika,nimejaribu kuzisugua na stili waya lakini...
Kwa watu wa Dar, kuna lile eneo kubwa opposite na San Cirro, ambapo kuna groceries nyingi na parking za magari.
Pale ndani kuna kina kitimoto matata sana, lakini kinachonivutia mimi ni ile...
Kuja jamaa mmoja anaitwa Dulla.... Jamaa ni chef mzuri sana... Tulishawahi kukutana mikochen kwenye kimgahawa furan maeneo ya kwa Walioba miaka ya 2009 kama ckosei. Kaka kama upo humu ndani...
Habari wadau!
Mwenzenu nina tatizo moja,kila ninapopika! Nifanye nfanyavyo mafuta au chumvi kitazidi.Naombeni ushauri ili nipunguze tatizo hili katika zama hizi za lifestyle diseases.
Wapendwa,
si vibaya kushirikishana mambo ya maanjumati kutokana na uzoefu.
leo nimeamua kuwasaidia mabachela ili waache kula vyakulahafifu kwenye mama ntilie wajitengenezee misosi home haraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.