SIJAWAHI kabisa kula nyama ya kondoo sasa nimeletewa na mimi ndo mpishi yamani msaada please.
Jinsi ya kupika hii nyama
Jinsi ya kui seasone
Spices gani natakiwa nitumie nisije kuharibu mmh
na...
Heshima zenu wakuu. Natumia gas cooker yenye oven kwa chini. Ishu ni kwamba sijawahi jua pa kuwashia hii oven. Msaada please.
NB. Ni four plates, gas only. Manufacturer: westpoint.
Namna ya kuandaa papai kama mboga.
1. Chagua papai ambalo ni bichi na wala halijaanza kuiva (itakuwa vizuri kama utachagua papai changa)
2. Viungo vingine unavyotakiwa kutumia ni vile muhimu kama...
Nimeikuta sehemu nikasema niwadokeze wadau wa JF na nyie mumfaidi bata jamani
Unataka kula kitu tofauti?katika hali ya kawaida tumezowea kula nyama ya kuku lakini vipi nyama...
Habari zenu wa jf...nilikuwa naomba msaada wa jinsi ya kutengeneza Catlesi (katlesi sijui spelling zake miye hivyo hivyo juu kwa juu).....kama kuna mtu anajua please naomba anipe recipe zake how...
Njegere Ni chakula cha kawaida kabisa kwa watanzania wengi.Njegere huweza tumika kama sehem ya kifungua kinywa,kiungo cha supu ,kiungo cha saladi na hata kama sehem ya mlo mkuu .
Kuna Namna...
The process of making hard liquor involves the distillation of grains, most commonly, as well as fruits and vegetables that have been fermented. Wine and beer are also made from fermented...
UNAKUMBUKA ENZI ZA PIPI TOFFIIIII?? KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI KABISA YA KEKI YENYE MCHANGANYIKO WA KARANGA SUKARI YA KAHAWIA NA KAHAWA YA UNGA WEEKEND HII NI TAMU RAHISI NA NI NAFUU KUANDAA...
Moja ya namna nzuri sana ya kula kiporo ni kukibadilisha kua chakula kipya kwa kukipa ladha au kionjo kipya kitakacholeta utofauti na Chakula ulichokula jana au juzi .
Jumapili iliyopita...
TAMBI ZA SUKARI NA MAZIWA
Tambi au pasta ni moja ya vyakula ninavyovipenda sana.Ni rahisi kuandaa na kuna namna nyingi sana ya kuziandaa na kuzipika.
Kutokana na uandaaji au upishi tambi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.