Ndugu wana jf salaam,
naombamsaada wa kujua ubora wa uji wa muhogo ukilinganisha na ule wa unga wa sembe hasa kwa matumizi ya watotowenye kujua tafadhari naomba maoni yenu
WALI WA ASUMINI
Mchele kilo 1
Kuku mkubwa 1
Vitunguu maji kilo 2
Mayai 8
Samli kilo 1
Thomu gram 200
Tangawizi mbichi gram 50
Mdalasini gram 50
Hiliki gram 50
Bizari nzima kiasi
Siki...
Nimejaribu hii na nimegundua hubadilisha ladha kabisa ya nyama. Unaweza kuongeza vioungo vingine kadri unavyopenda ila mimi hupendelea kuichanganya nyama na vinega au limao, chumvi na tangawizi...
Na Issa Kapande
Ni muhimu kwa mzazi/ mlezi kufahamu aina ya chakula kimfaacho mtoto wake hususani yule aliye katika umri wa miezi tisa na nusu mpaka miaka sita. Aina hizi za vyakula na jinsi ya...
Guys mambo vip? Anayehitaji chef wa kimataifa mwenye uzoefu usopungua miaka kumia katika indian cuisine, french, italian na chinese kidogo na mbunifu mwenye managerial skills na English speaker...
SPAGHETTI ya leo fupi!
2000
Kusema kweli nadhani mwaka huu wa 2000 ndiyo kumbukumbu yangu ya kwanza ya interaction yangu na chakula hichi. KWa muda mwingi nyumbani wakati tunakua tulikuwa...
Wali huu si maarufu sana ingawa siku ukiujaribu utapenda kuula kila siku
MAHITAJI
Mahitaji kwa ajili ya mchuzi wa ukwaju una uwezo wa kukaa katika friji bila kuaharibika kwa miezi 2
200 grams...
Habari wadau. Nimetembelewa na muhindi ofisini. Natafuta migahawa ya kihindi Dar ili jamaa at least mida ya misosi ajihisi yupo Delhi. He likes biryani. Natanguliza shukran:)
Habari wana jf!
Naomba kama kuna anayefaham madhara ya kuhifadhi juice kwenye freezer, maana nina mazoea ya kutengeneza juice then naweka kwenye freezer natumia hata siku tatu.
Ila leo jirani...
Wapendwa natafuta mpishi Nina ubatizo next wkend nataka anaejua kupika ATI yaani ukila chakula chake lazima next time umtafte tena,plz nasisitiza anae jua kupika haswa sio kitoto,coz chakula...
habarin ndugu zangu,samahan nlikua naulizia gharama ya jiko dogo la kupikia mkate na hilo jiko dogo linaweza kupika mikate mingapi yenye ujazo wa nusu kilo kwa raundi moja?
Ntashukuru sana kwa msaada
Natafuta tenda ya jiko
kwenye bar/grocery/
restaurant ya
kuandaa vyakula kuanzia
supu, vyakula vya mchana na uchomaji wa nyama, mkataba
ni maelewano kuendana na
sehemu yenyewe ilipo na flow...
Mapishi: Biskuti za kahawa
Pamoja na kuwepo kwa aina nyingi ya biskuti, kumekuwepo na tofauti ya ladha. Hii hutokana na kutofautina kwa viungo kati ya biskuti moja na nyingine.
Hilo ndilo jambo...
FRESH MIXED SALAD
Fresh (tamka; freshi) ni kitu kipya moja kwa moja toka shambani (yaani hakijapikwa), Wakati MIXED (tamka; miksidi) ni mchanganyiko wa vitu mbalimbali na Salad (tamka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.