Mahitaji
Mchele kg 1
Kuku
Mayai 3-4 yaliyochemshwa
Nyanya 3 kubwa
Kitunguu thomu 1teaspoon
Tangawizi 1teaspoon
Chumvi kiasi
Bizari ya pilau 1teaspoon
Mdalasini wa unga 1teaspoon
Pilipili mboga 1...
Mahitaji
Nyama ya kusaga kg 1/2
Karot 1 kubwa kata ndogo ndogo
Pilipili mboga 1 kubwa kata ndogo ndogo
Thomu
Tangawizi
Bizari ya pilau
Ndimu
Chumvi kiasi
Pilipili manga
Namna ya kutaarisha...
BLUE BAND ROBO
VIINI VYA MAYAI VITATU
BAKIN POWDER VIJIKO 2,
ROBO SUKARI
UNGA UTAKISIA
VANILA AU JUICE YA MACHUNGWA
NAMNA YAKUFANYA
Utachukua siag yako utachanganya na sukari...
VIPIMO
Mchele 3 vikombe
Nyama ya kusaga 1 LB
Mchanganyiko wa Nafaka (upendavyo) 1 kikopo (maharagwe, njegere, mbaazi, na kadhalika)
Vitunguu maji kata vipande vipande 3 vya kiasi
Thomu na...
Nyama 1 LB (isiyo na mifupa katakata vipande vidogo vidogo).
Thomu na Tangawizi iliyosagwa 1 kijiko cha supu
Pilipili manga ya unga 1 kijiko cha chai
Sosi ya Soya (soy sauce) 2 vijiko vya supu...
Wakuu
Kwa faida ya jukwaa hili la mapishi naomba mwenye info za catering services nzuri au chef kwa ajili ya shughuli mbalimbali
hii inaweza kuwa data page ya catering services ...
Eggplant Pizza
Tomato Sauce
All you need:
1 tomato
2 garlic pieces (1/4 to 1/2 clove to taste)
pinch of thyme
olive oil 1-2 teaspoons
salt and sugar to taste (not more than 1 teaspoon, start...
Msaada...sugarpaste/fondant ndo mpango mzima kwa ajili ya kucover cake...sasa ntapata wapi readymade sugar paste....km hakuna basi walau ingredients zake ili nitengeneze mwenyewe....nazo...
15 Most Popular Ice Cream Flavors: The Winner May Surprise You!Diet and Nutrition News & Advice
By: Angela Ayles on Tuesday, April 2nd, 2013 @ 8:55 am
As we all...
Hii kitu ni tamu sana, Arusha na Moshi ni wataalam mno wa kutengeneza hii kitu lakini kwa Dar huwa ni ngumu kupata mtura, je kuna mwenye ufahamu wa hili?
Fish is among the healthiest foods you can eat. It's filled with good fats and protein, and has been shown to fight heart disease, boost brain health, and more.
Here's the catch: You can easily...
Habari zenu wana jukwaa mm nimgeni humu kwenye group lenu la mapish nataka muungane na mm shirika kwani napenda sana mapish na nimesoma nimeyapenda mapish yenu ahsanteni
Wakuu kunawakati katika zunguka zunguka za kazi nilipata kukaa Kagera kwa miezi kadhaa, nilitokea kupenda sana zile ndizi zao wanaita MATOKE
Naomba kama kuna mtaalamu anielekeze namna ya kupika...
Habari wadau, jioni hii nmeletewa nyama ya kusaga yafika kilo na nusu, ukweli hii ni nyingi sana kwa kupikia katless tu za watu watano hapa nyumbani, tusaidiane vitu vyengine ambavyo ntaweza...
Napenda kwenda jamaa fast food kunywa, lakini
Siku nyingine huwa hawafanyi, nikaenda kisutu kuyanununua, nikaya blend kufanya juice
lakini test yake imekua ina uchachu uchachu,
hivi inafanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.