Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

  • Sticky
Ndugu zangu mliopita au mliopo kwenye uwanja wa mapambano(Law school) tujuzeni hali halisi ya pale..naanza kwa kuuliza maswali yafuatayo; 1.Ni kozi ngapi zinafundishwa 2.Utaratibu wa malipo ya...
6 Reactions
108 Replies
56K Views
  • Sticky
SURA YA KWANZA HISTORIA YA MFUMO WA MILKI YA ARDHI Chimbuko na misingi ya mfumo wa umiliki na matumizi ya ardhi yaliyopo sasa umepitia katika vipindi vifuatavyo:- A. MFUMO WA MILKI YA ARDHI...
13 Reactions
21 Replies
14K Views
  • Sticky
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k. Binafsi nina e-library kubwa...
67 Reactions
1K Replies
225K Views
  • Sticky
Asha Mkwizu Hauli akipelekwa Mahakamani R. v. Asha Mkwizu Hauli, Crim Sessions Case No 3 of 1984 (DSM) (unreported).[/COLOR] Mnamo tarehe 19 Novemba , 1983 mwanamke mmoja aliyejulikana kwa...
82 Reactions
278 Replies
156K Views
  • Sticky
Mkataba wa ajira, kama ilivyo desturi kwa mikataba mingine kwa mujibu wa sheria, huzaliwa, huishi na kufa; kama ilivyo kwa binadamu na viumbe hai vingine. Unazaliwa mara baada ya mwajiriwa na...
14 Reactions
733 Replies
337K Views
  • Sticky
"Why do we Kill People who Kill People to Show that Killing People is Wrong?" Je, ni sawa kuwa na Hukumu ya Kifo? Baada ya yule Chizi wa Norway kuua kadamnasi ya watu (ukizingatia Norway life...
16 Reactions
331 Replies
99K Views
  • Sticky
When I was in secondary school, the girl used to sit next to me died after performing illegal abortion. It was very sad because it happened a week before we started our final exams. Women who...
9 Reactions
154 Replies
76K Views
  • Sticky
Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako. Mwulize jina lake Mwulize namba yake ya uaskari Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa. Raia ana haki ya...
107 Reactions
604 Replies
240K Views
Habari wakuu wa sheria, nimekuja mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba msaada wa kishelia. Nitajitahidi kuifupisha kadri iwezekanapo lakini mtaelewa ninachoomba kutoka kwenu. Mimi nilikuwa ni...
1 Reactions
41 Replies
678 Views
HAKI YA MTOTO PINDI WAZAZI WANAPOTENGANA. Mtoto ana haki ya kupewa matunzo mazuri pindi wazazi wanapotengana, sawa na matunzo aliyoyapata pindi wazazi walipokuwa wakiishi pamoja. Mtoto atakuwa...
3 Reactions
19 Replies
10K Views
Habari zenu manguli wa sheria? Naomba msaada mama yangu mzazi miaka 10 iliyopita alianzisha kesi kati yake na Taasisi moja kubwa sana ya kidini nchini! Taasisi hiyo iliuziwa kiwanja kikubwa sana...
5 Reactions
17 Replies
941 Views
Poleni na majukumu ndugu zangu Wanafamilia ya JamiiForums! Nimerudi Tena kuleta mrejesho na kuomba kuendelea kuongezewa uwezo kwani naamini kuwa humu mpo baba zangu, mama zangu na wengine wengi...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Ally Yusuph Makamba,aliye kuwa anafanya kazi ktk Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi. Alifukuzwa kwa kosa la ulevi saa za Kazi na taarifa zaidi zinasema amekuwa akilewa mara kwa mara kitendo kinacho...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Tangia kampuni ya sigara tanzania imepata mkuruzenzi mpya wa masoko na mauzo mtanzania baada ya kuondoka Mkenya kulizuka wimbi la kufukuza wafanyakazi,mkurugenzi huyu mtanzania alianza na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari nipo kwenye harakati za kubadilisha jina wa Sababu binafsi. Nilienda kwa advocate akasema anaandaa deed pool kwa 50k then after nipeleke wizarani nitalipia 32500/= Sasa Kuna mtu...
1 Reactions
5 Replies
156 Views
Mwenye mali akifa, kodi za ardhi zinaendelea kuhesabiwa ? Nani anadaiwa ? Shauri la Mirathi limeisha baada ya miaka 7, Daudi umepewa nyumba ya marehemu babaako. Kupata nyaraka za umiliki mpya...
1 Reactions
7 Replies
244 Views
Wakuu heshima kwenu. Habari za jioni, poleni na majukumu (kwa wale wenye majukukumu). Naomba kufahamishwa KISHERIA kama kichwa cha uzi kimavyojieleza. Mi hivi, baada ya mgogoro wa ghafla sana...
20 Reactions
224 Replies
4K Views
Habari wana jamii,kuna jambo naomba muongozo kidogo wa kisheria kwa mwenye ufahamu nalo.Tuna mali tumerithi toka kwa baba yetu na tuko watatu lakini kwa bahati mbaya mwenzetu mmoja amefariki na...
0 Reactions
12 Replies
502 Views
Habari wakuu. Kuna mhusika ana eneo lake ukubwa ni heka moja Kwa vipimo vya macho lakini ndani ya Hilo eneo Kuna nguzo ya umeme laini kubwa ile ya 33. Sasa anataka kupeleka wataalamu wa Ardhi...
0 Reactions
5 Replies
176 Views
So i am 25 right ? I have been using the same name in most of my Certificates, but for the last 10 years I found out I am a bastard son and my Father Claims to not have had a bastard son, So I am...
4 Reactions
16 Replies
211 Views
Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati...
0 Reactions
5 Replies
213 Views
Dear all, My reading and interpretation of Section 40 of the Employment and Labour Relations Act. Cap. 366 R.E. 2019 tells me that it was the intention of the Legislature to make it mandatory for...
3 Reactions
16 Replies
937 Views
Habari, Naomba msaada kisheria hili lipoje, mwaka 2020 mwezi wa tano, nilipata ajira katika kampuni moja jijini Dar, nimekuwa nao kwa muda wa miaka 4 mpaka mwaka 2024 mwezi wa 7. Ile naondoka...
1 Reactions
4 Replies
239 Views
Habari Wana JamiiForums Napenda kujua hili suala la dada poa al maarufu Malaya hapa kwetu kumekuwa wakikamatwa nakupelekwa police ila sijawahi sikia hukumu zao zikitolewa mahakamani sasa nataka...
2 Reactions
9 Replies
280 Views
Napenda kujua kama umetokea ugomvi kati ya wanandoa ikatokea mmoja wao kapatwa na umauti bila kusudia. Je, taratibu gani zitafata kisheria? Je, aliyehusika anaweza kupunguziwa adhabu ya kifungo...
1 Reactions
6 Replies
254 Views
Naomba kuuliza wataalamu wa Sheria,maoni yanayo tolewa mahakamani kuelekea kutolewa hukumu yenyewe ndio yanatoa hukumu itakavyo kuwa?Asante
1 Reactions
5 Replies
250 Views
Natumaini hamjambo. Nina jambo ambalo linahitaji muongozo: Nina Kampuni,imesajiliwa kwa jina furani. Imejitokeza kampuni nyingine, yenye jina kama la yangu. Activities ni tofauti. Sasa, wanaomba...
1 Reactions
7 Replies
200 Views
Juma hili tumepokea simu na hata picha za simu katika Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto zikiwa na taarifa za kufanyiwa ukatili wa kingono watoto wa kike. Picha za watoto hao sasa zimesambaa...
4 Reactions
12 Replies
298 Views
Back
Top Bottom