Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Hello, leo nakuletea summary ya kesi maarufu ya mauaji, ambayo iliwahi kuitikisa Tanzania enzi hizo (2006). Ni kesi ya ‘Abdallah Zombe na wenzake 12.’ Hii ni summary (muhtasari au dondoo) kwa...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Kuvunja ahadi ya kuoa au kuolewa ni kosa linaloweza kuchukuliwa hatua chini ya kifungu cha 69 na 70 cha Sheria ya Ndoa (Sura ya 29 R.E 2019). Ikiwa mlalamikaji atathibitisha kuwa aliyekiuka ahadi...
0 Reactions
24 Replies
782 Views
Habari za mchana wana jamii naomba kutahamu utaratibu upoje kwa mtu anaehitaji kupata passport ya kusafiria vitu anavyotakiwa kuwa navyo pamoja na gharama ni kiasi gani na inachukua muda gani...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Wabobezi katika sheria za muungano wa kampuni naomba msaada wa kisheria inayohusu JV. Nina kampuni yangu haina mtaji wala vifaa ila ila ina watu wenye uwezo wa kutafta fursa za kazi (tenders)...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Usiposomewa Maoni ya Wazee wa Baraza kwenye kesi za ardhi, hiyo kesi nzima ni batili Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241 Kwa wale ambao mna kesi za ardhi katika mabaraza/mahakama za wilaya...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Husika na kichwa happy juu, naomba kujua kuhusu bima ya mkopo hasa mkopaji mwenza anapofariki kwa maana mkopo unabima ya maisha lakini wakopaji ni wa wawili, mke na mme, afu afariki mke, maana...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Mtumishi wa umma aliyerudishwa kazini na Tume ya utumishi wa umma kwa masharti kwamba shauri likaanze upya kwa sababu Mwajiri alikosea utaratibu wa kisheria, akirudishwa anastahili kulipwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hakimu ajitoa kesi ya Mahalu Imeandikwa na Regina Kumba; Tarehe: 28th March 2011 @ 22:55 Imesomwa na watu: 47; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika shughuli zetu za kuuza na kununua ambazo tunazifanya kila siku mikataba ya maandishi ni jambo ambalo wengi tunakutana nalo. Mikataba hii iwe rasmi au isiwe rasmi suala la msingi ni kuwa...
6 Reactions
16 Replies
28K Views
Habari zenu wana bodi.. Kama nipo sawa,kama tujuavyo kesi ya mauaji haina dhamana.. Hii kesi ya mauaji kwa mtuhumiwa Elizabeth Michael A.k.a Lulu ilikuwaga mahakamani kipindi hicho wakati wa...
0 Reactions
30 Replies
11K Views
UNATAKA KUNUNUA NYUMBA/KIWANJA? HAKIKISHA HAYA KISHERIA USITAPELIWE. Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba hasa maeneo ya mijini. Kwa utafiti wa kawaida...
12 Reactions
23 Replies
20K Views
Kuna sehemu nilipata kazi private sector sasa yapata mwezi mmoja umepita,mkataba nilisaini sehemu yangu ile ya employee ila employer hakua amesaini,nikamkabidhi HR wa kampuni na taratibu nyingine...
4 Reactions
16 Replies
484 Views
kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa...
6 Reactions
19 Replies
823 Views
SIO KOSA MTU KUCHOMA MALI YAKE. Bashir Yakub, WAKILI +255714047241 MOSI, ili tukio liwe kosa lazima kuwe na upande ambao umeumizwa/ umekosewa(offended party). Ukimpiga mtu, ukiiba mali ya mtu...
34 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza. Kuna kabinti jirani na ninako ishi kananiomba nikatoe bikira. Yeye ana miaka 16 mimi 28. Ila si mwanafunzi. Je nikikatimizia haja zake ni makosa kisheria?
3 Reactions
99 Replies
19K Views
Kifungu cha 324 Penal Code kinasomeka:
0 Reactions
23 Replies
787 Views
Tarehe 5/10/2022 majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa kupitia Rufaa Na. 333/2019 kati ya Lawrence Magesa t/a Jopen pharmacy VS Fatuma Omary na Rimina Auction Mart wamesema kuwa pale mpangaji kodi...
11 Reactions
24 Replies
6K Views
Naitwa Peter nipo Kigambon, Mimi ni fundi ujenzi ilikuwa majuzi nilikuwa site nikijenga chemba mara ghafla manispaa wakaingia (wazee wa kibali cha ujenzi) bahati nzuri bosi alikuwepo ko sikuwanza...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwanza kabisa natanguliza shukrani Nina kesi ya madai mahakama ya wilaya lakini kwa bahati mbaya mwisho wa kesi ikagundulika imekosewa jina la mdaiwa ikabidi isimame utekelezaji wake.sasa mimi...
0 Reactions
5 Replies
300 Views
Back
Top Bottom