Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Poleni na majukumu ya Kila siku.
Mwezi wa tano nilimfungulia biashara ya uwakala mke wangu, nikajenga duka na lilipokamilika nikawa nimebakiwa na fedha kidogo Kama mtaji, baada ya biashara kuanza...
Ni hivi mimi ni mtanzania kabisa sasa niko kenya huku na nimebahatika kupata pikipiki sasa nautaji kuja nayoo home Tanzania 🇹🇿
Je utaratibu ukoje au niuze nije na pesa tuu heri ya mwaka mpya...
Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuwa na uelewa sahihi wa kisheria kuhusiana na swala la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Kwenye sheria za Tanzania, hakuna kosa la kutembea (kufanya...
I took a mobile app loan for 8 days. On the date of repayment, the company staff started to bombard me with demands for payment.
I spoke to three different individuals from the company and...
Dada angu kaolewa miaka karibia 10 Sasa , ana watoto watatu , wamejenga nyumba, na wanamiliki mashamba makubwa ambayo Yana mazao kila mwaka wanavuna.
Bwana ake (shemeji) mpaka Sasa hajamtolea...
Naomba kama kuna wakili mkali mwenye rekodi ya uhakika ya kesi za Ardhi nitajiwe hapa ...nna ndugu Wana kesi za Ardhi zinawasumbua sana...
Natanguliza shukran
Kuna jirani yangu alipora kipande cha ardhi yangu kwa kuwa sikuwepo kwa muda wa miaka 4 pale nyumbani. Niliporudi na kuona hivyo, nilifungua kesi katika Baraza la Kata.
Baraza lilifika kuangalia...
Habari ndugu zangu,
Niende Moja kwa moja kwenye tatizo langu.
1. Mwaka 2017-2019 niliajiriwa sehemu nikawa nalipwa ujira wangu, nilikuja kuachana nao na kujiunga na taasisi nyingine, Hawa maboss...
Ulisha ona maajabu ya ukatili wakijinsia alafu polisi wana mpooza mke kwa kumpa elfu 50 eti akapike ili yule polisi aje kusuluishia kesi nyumba jioni?
Hii imetokea moshi mjini kituo cha mjini...
Je, unatamani kusoma sheria au kuwa Wakili, Hakimu au Jaji? Hongera! Soma vigezo na mlolongo wote hapa chini.
Imeletwa kwako nami Zakaria Maseke (Advocate /Wakili )
0754575246 - WhatsApp...
Habari zenu wadau!, nahitaji ufafanuzi kidogo hapa, nilikuwa na Girlfriend wangu ambaye alipata ujauzito na kuniambia kwamba ni ujauzito wangu. Tangu hapo niliamua kwa upendo tu kumhudumia katika...
Huwa nasikia watu wanashinda kesi za kulipwa fidia, Baada ya hapo huwa kuna mchakato wa Malipo.
Kwenye mchakato wa kulipwa unaweza kufanikiwa kulipwa bila connections ama mafungu ya asante ...
Mimi ni mfanyakazi na nimefanya kazi kwa takribani miaka 11 kwenye taasisi hii. Nilikuwa naingia mikataba ya miaka miwili miwili halafu na-rew. Sasa ilipofika mwaka 2015 mwajiri alininipa mkataba...
ULISHA ONA MAAJABU YA UKATILI WAKIJINSIA ALAFU POLISI WANA MPOOZA MKE KWA KUMPA ELFU 50 ETI AKAPIKE ILI YULE POLISI AJE KUSULUISHIA KESI NYUMBA JIONI?
HII IMETOKEA MOSHI MJINI KITUO CHA MJINI...
Dereva anatakiwa kutumia honi tu iwapo ni lazima katika kuwaonya watumiaji wengine wa barabara au kuwajulisha kuwa kuna gari nyingie ipo karibu nao.
Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973...
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge.
Kesi ya kuendesha gari kwa uzembe na kusababisha vifo vya watu wawili inayomkabili Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.