Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kutokana na kuahirishwa hairishwa kwa hukumu ya aliyekuwa Waziri katika serikali ya JK Bw. Andrew Chenge ihusuyo ajali ya barabarani na kuendesha gari bila ya bima kwa miaka kadhaa ikiwemo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wa Sheria,Iko hivi Mimi kama msimamizi wa mirathi,nilifatilia mpaka Hela zikawa zimetumwa kwenye akaunti ya mahakama, warithi wakajaza zile form za mgao,tukambiwa tusuburi Hela zitaingia...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Mara nyingi tumekuwa tukisikia kuwa watuhumiwa fulani wamesomewa Mashtaka lakini hawakupaswa kujibu CHOCHOTE kwa kuwa Mahakama waliyopelekwa haina uwezo/mamlaka ya kusikiliza kesi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina ndugu yangu muhitimu wa diploma ya sheria, kwasasa ni muajiliwa anahitaji kujiendeleza na degree ya sheria,, lakini kupitia THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA, (Chuo kikuu huria Tanzania)...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habarini, Naamini wote mu wazima, wakuu msaada kujuzwa kimsingi kesi CMA inaweza kwenda muda gani? Na kama zaidi ya mara mbili unapata ushindi mshtakiwa anakata rufaa. Au wakati kesi...
2 Reactions
6 Replies
501 Views
Ushahidi wa mazingira (circumstantial evidence) - huu ni ushahidi ambao hautoi uthibitisho wa moja kwa moja wa ukweli wa jambo fulani, bali unategemea mazingira yanayozunguka tukio husika ili...
2 Reactions
0 Replies
519 Views
Kuna mvutano kidogo kuhusu rangi za jezi,katiba ya yanga inataja rangi za klabu ni njano,kijani na nyeusi,sasa jezi zilitolewa safari hii hasa za mashindano ya kimataifa,ni tofauti na hizo...
2 Reactions
50 Replies
1K Views
Kampuni za Oilcom Tanzania Limited na Oryx Energies zinakabiliana kwenye mgogoro mkubwa wa kisheria na unaoelezwa kufichua upendeleo na mapungufu katika mfumo wa usuluhishi wa Tanzania. Mgogoro...
3 Reactions
5 Replies
809 Views
Hahitaji kujua nini natakiwa kuandaa kati ya Deed Poll au Affidavity? Mimi jina langu limekosewa herufi moja na haibadilishi maana ya jina. Badala ya Mohamed, likakosewa kwa kuongezewa herufi...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
JE, SERVICE ROAD NI KWA MATUMIZI YAPI HASA? Ni swali ambalo limekuwa linasumbua sana vichwani mwa madereva wengi sana. Kwani si mara nyingi hasa tunaelezwa service road zilijengwa kwaajili ya...
2 Reactions
5 Replies
458 Views
Hello everyone 👋!! Mnaendeleaje na hali ndugu zangu poleni kwa majukumu! Naomba msaada tofauti kati ya MISDEMEANOR and GROSS MISDEMEANOR (First year student at MZUMBE UNIVERSITY)
1 Reactions
1 Replies
311 Views
Salaam wanajukwaa la sheria. Nina changamoto hiyo hapo juu, nimeileta jukwaa hili kupata ushauri wa nifuate utaratibu gani mwanangu aanze kidato cha kwanza na jina lake lilolopo kwenye cheti chake...
2 Reactions
7 Replies
635 Views
Wakuu hivi kisheria imekaaje tupo mahakamani hapa wanandugu ila sasa cha ajabu faili wanasema limepotea halionekan so ina maana shauri limekwama. Je tufanyeje au lawyer yupi mzuri kwa hapa mitunduruni
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hapa kûna terminologies(istilahi) kadhaa Ambazo sharti nizitolee maelezo Kabla sijaendelea mbele kwèñye hili àndiko. Istilahi hizô NI kama Ifuatavyo: 1. NDOA 2...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Naomba mtusaidie Elimu kuhusu taratibu za Upokeaji wa Summons. Je, ni Nani anapaswa kubeba summons kutoka mahakamani kumpelekea Mdaiwa? Je, Ni yeyote Yule au kuna mtu maalumu? Je, kuna muda...
1 Reactions
10 Replies
652 Views
Wakuu naomba kueleweshwa, nilishtakuwa Kwa kesi ya jinai na Jamhuri miaka miwili imepita sasa toka hukumu ilipotolewa na mahakama iliniachia huru baada ya kujiridhisha na ushahidi. Imepita sasa...
0 Reactions
10 Replies
675 Views
Sio kwa nia mbaya lakini ni kuwa na jicho critical kidogo, nauliza tu "wanasheria wetu wa kizazi hiki wana viwango?" kwa nini kama nchi kila kesi kule nje kwa wakoloni tunashindwa na kulipa...
4 Reactions
28 Replies
839 Views
Ukiwa na nyumba au kiwanja bila hati miliki haiwezi kukusaidia kupata mkopo, naomba wakuu mnisaidie mchanganuo wa gharama za kuipata hati miliki na taratibu zake, ninaanzia wapi na kuishia wapi...
4 Reactions
150 Replies
111K Views
HABARI WAKUU WANGU WA JAMII FORUM! Awali ya yote natumia fursa hii KUWASHUKURU sana kwa maoni yenu mliyokuwa mkinipatia tangu nilipoweka post ya kutengenezewa zengwe na mkuu wa shule na mzazi wa...
1 Reactions
4 Replies
370 Views
Wanajamvini na shida jaman na employment ordinance
1 Reactions
1 Replies
744 Views
Back
Top Bottom