Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mimi Nina Rafiki yangu amefarikiwa na mama yake muda mrefu sasa na babu na bibi yake pia wamefariki karibuni vip anaweza pata miradhi kwa kupitia mama yake, Babu na bibi hawakuacha maandishi yoyote.
Heri ya Mwaka mpya wana JF,Nilikuwa naangalia CNN Connect of the day kuna huyu Bwana alikuwa akiongea someni kipi kilichompata.Mtu anaweza kuhukumiwa kunyongwa wakati akiwa hana makosa...
Ward tribunal kwa sheria ya sasa (mabadiriko ya 2021) wanafanya mediation.
Swali langu ni hili: Mediation ikishindikana, nani anapewa certificate ya ku certify failed reconciliation. Je ni yule...
Wafanyakazi 30 watimuliwa wakidaiwa kutoa mawasiliano ya siri kwa Gazeti la MwanaHalisi
KUTEKWA, kupigwa na kuteswa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Chama cha Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka...
mens rea
Dictionary
Definitions from Oxford Languages · Learn more
noun
Law
the intention or knowledge of wrongdoing that constitutes part of a crime, as opposed to the action or conduct of the...
Habari za jioni waungwana
Kabla sijafanya maamuzi haya, naomba kupata ushauri kutoka kwenu.
Nataka siku moja niingie mahakamani, hasa mahakama kubwa, nisikilize kesi na shughuli nyinginezo za...
Habari za majukumu....
Naomba kufahamishwa kuhusiana na sheria inayohusu malipo kwa mfanyakazi pindi anapoingia mkataba na mwajiri wake.
Hapa nazungumzia pesa ya kujikimu tu inauotolewa mwanzo wa...
Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina.
Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15.
Nimekuwa nikichukuwa...
Je, kuna msaada wowote wa Kisheria (ikiwemo kuwekewa mwanasheria na serikali) kutoka Taasisi za Serikali kwa Watuhumiwa ambao hawana uwezo wa kulipia Wakili binafsi?
Habari Wana JF, naombeni msaada wa kisheria.
Mwajiri wangu alinivunjia mkataba bila kunipa barua yoyote yakuniachisha kazi, nilipewa kesi ya wizi ambapo alinipeleka polisi, lakini hakupeleka kesi...
Nilikuwa najua kumtuhumu mtu kwa mauaji au mambo mengine mfano fisadi, jambazi n.k akienda mahakamani ni kesi ya madai tu kumbe inaweza kuwa kosa la jinai pia kama anavyoshitakiwa ExMayor
Naomba msaada wa kisheria,
je nina uwezo wa kisheria kama mtu binafsi kufufua kesi ya ugaidi iliyo kuwa inamkabili Freeman Mbowe, Mohamed Ling'wenya, Halfan Bwire na Adam Kasekwa ambayo...
Unapoandaa affidavit au kiapo unatakiwa kuapa juu ya mambo ambayo yako kwenye ufahamu wako binafsi tu. Soma Order XIX rule 3(1) Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (CPC) inasema...
Habari za muda huu wana JF,
Naomba kwa wataalamu wa sheria hasa zile za mikataba ya ajira mnisaidie hili swali,Je,ni utaratibu wa kisheria mtu kufanyiwa probation mara mbili yaani miezi mitatu...
MWENENDO WA KESI YA WAKILI FATMA KARUME NA ILIPOFIKIA
Habari, leo nakuletea UPDATE YA KESI YA WAKILI FATMA KARUME a.k.a. Shangazi, jinsi ilivyoanza, jinsi alivyosimamishwa Uwakili kwa muda na...
Kama inavyojieleza
Mfano upo kwenye ndoa na mke wako lakini kutokana na masuala mbalimbali ya kimaisha hasa ajira mnaishi mbalimbali kwa muda mrefu na mwisho kuwa na migogoro ya hapa na pale...
Habari za muda huu wakuu!
Kuna mtu amejenga nyumba yake mahali tulipomzika baba yetu mzazi na alikuwa anajua kuwa mahali pale amezikwa mtu na alishiriki wakati akiwa kijana kumzika mzee wetu...
Habari wadau humu JF,naomba kupata ushauri kutoka kwenu kuhusu mwenendo kwa kesi yangu ya traffic ambapo huu ni mwezi sasa toka niambiwe kesi imeisha na msababisha ajali kukutwa na hatia...
Najua humu ndani pia wapo makauzu waliovurugwa na wenye stress zao juu ya ugumu wa maisha hasa ukizingatia kama magari aina ya mashangingi, ma cruiser, na ma fortuna STN Yananunuliwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.