Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Msaada wa kisheria ni jambo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji sawa wa haki kwa wananchi wote wa jamii. Nchini Tanzania, Sheria ya Msaada wa Kisheria inatambua dhana ya “watu maskini,”...
Nauliza kuna uwezekano huo? Wanasheria akina madeleka, Mwabukusi, is that possible? mbona wana uwezo wa kukamata ndege? au kwa vie these are civil engagements?
The Closure of EFD Machines and its Impact on Tanzanian Taxpayers
The Tanzania Revenue Authority (TRA) holds a vital role in our nation's progress, tasked with the essential duty of collecting...
Natumaini wote tuko poa.
Wajuzi wa sheria msaada, nina jamaa yangu mwanae kakutwa na kesi ya kulawiti watoto wenzake, kwa wajuzi wa sheria hukumu ikoje maana huyo mtoto yupo darasa la 4!
Pia...
Habari wa JF,
Naomba msaada wa kisheria nifanyeje hili swala.
Niliomba mkopo bayport tar 25/4/2024 na makato yakapita kwa utumishi tar 2/5/2024 cha ajabu up to now hawajaingiza hela kwenye...
Nimemshuhudia mara kadhaa, akitunushiniasha misuli na mawakili na hata kuwatamkia maneno yasiyo ya kistaarbu mbele ya wateja wao.
Najiuluza, kama Kuna tatizo mahala, hakuna namna nyingine ya...
wadau habari
msaada tutani... JOB tupo kama mtu tano tunahitaji kuanzisha kikundi cha maendeleo ila tunataka kukisajili kisheria ili litakapotokea lolote kila mtu awe na haki sasa changamoto...
Habari wadau,
Ninafanya kazi shirika fulani tukapewa likizo ya siku 28, siku ya moja kabla ya kurudi kazini nikapewa notice of termination ya siku 30, ikieleza shirika husika linapitia financial...
Justice into the Ground! Is the Legal System and Lawyers Failing Tanzanians?
By Obadia Kajungu, Esq.
We, as lawyers, are the main obstacle to justice in Tanzania. We have failed to uphold the...
Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru
Habari wana jamvi, awali ya yote nimesikitishwa sana na habari tajwa hapo juu👆 kwani nimejiuliza, je kama menager wa hoteli kubwa...
Wanabodi,
Utangulizi: Hizi ni makala elimishi kutoa elimu ya uraia kwa watu wa kawaida kuijua katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977.
Mtoa Mada ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na...
Huu ndio utaratibu kwa kumchukua (kamata) mwanajeshi wa JWTZ ambaye anashikiliwa kwenye mahabusu ya Kijeshi iliyo ndani ya Kambi ya Jeshi na kumleta kwenye mahabusu ya muda (temporary custody) ya...
Kimsingi Mahakama ndiyo chombo pekee na cha mwisho cha utoaji haki katika Jamhuri ya Muugano wa Tanzania kama ilinavyoainishwa katika Ibara ya 107 (A) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mimi ni Mtanzania mwezenu, nimeandika na kuweka katika jukwaa hili ili niweze kujengewa uwezo na ushauri na yeyote atakayeguswa na habari yangu; kama kuna sehemu haitaeleweka nipo kwa ajili ya...
48 Laws of Power
LAW 1
NEVER OUTSHINE THE MASTER
JUDGMENT
Always make those above you feel comfortably superior. In your desire to please and impress them, do not go too far in displaying your...
MTAZAMO WANGU WA KISHERIA BAADA YA KUWEPO MAWAKILI WA UTETEZI WA KESI YA UBAKAJI NA ULAWITI KWA BINTI WA YOMBO DOVYA. ITAKUWA KESI NGUMU KWA JAMHURI KUTHIBITISHA BILA SHAKA YOYOTE ILI WASHITAKIWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.