Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Haya ni baadhi ya maswali ambayo utapata majibu yake kwa kusoma makala hii fupi.
1: Je, mtu ambaye sio Wakili anaruhusiwa kumuwakilisha (kumsimamia) au kumtetea mtu kwenye kesi Mahakamani?
2...
Wakuu nimekuwa nikiona hili neno hasa kwa wale wanao chukua degree katika sheria..likiwa ni jina na kitivo chao.
Swali langu ni juu ya kirefu cha LLB, na origin ya neno hilo.
Naomba msaada.
Ninawasalimu kwa heshima za hadhi zote ndugu zangu wa JF.
Kwa heshima kubwa ninawashukuru sana kwa mawazo yenu yote juu ya maada niliyoileta kwenu iliyosema "NILITENGENEZEWA ZENGWE NA MZAZI...
Habari za humu ndani wakuu? Hope you are good.
Wataalamu nina tatizo ambalo nahitaji ushauri au mtu yoyote mwenye uelewa hili suala tunaweza kulisolve vipi.
Ipo hivi..
Kuna mtu nilifanya naye...
Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia...
Habari waungwana,
Kuna jamaa yangu fulani anatuhumiwa kutenda kosa la kumshambulia mtu ambaye ambaye walizozana kidogo. Shida imekuja kuwa anaendelea kushikiliwa kituo cha Polisi huku suala la...
HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI.
[Updated Thread, 2024]
[Prepared and posted on Facebook by Mr George Francis In 2021 & Posted On JamiiForums in 2022, now it's reposted here in...
Ushahidi kuwa ulimpatia nakala Attorney General lazima uoneshe kwa ushahidi kuwa ulimpa nakala ya barua ya kushitaki say shirika la serikali. Unatumika utaratibu gani kumpa nakala Attorney General...
Habari wakuu vipi wazima?
Mimi mzima nina swali naomba nikuulize.
Hivi kuna Sheria ya kumshitaki mwajiri kama alikuwa haweki hela za NSSF na loan board ukamshitaki, na lingine kama bima yangu...
BADILIKO 1:
Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa...
Hellow Learned brothers and sisters. Naomba mnifahamishe maana ya kukazia hukumu kisheria , nimekuwa nikilisikia hili neno Mara kwa mara lakini sijui maana yake.
Katika kesi za madai...
Tukio lenyewe lilitokea hapo majira ya asubuhi mnamo Februari 21, 1978. Ni baada ya kuambiwa mumewe wakati anaenda kazini kwamba akirudi asimkute hapo nyumbani, na kama akimkuta, atamtoa hapo...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza
Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua
Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20
Kwahiyo mwenye...
Ukifungua kesi ya ardhi ambayo kiwanja kimesajiliwa au kina hati, unatakiwa kumshtaki pia na Msajili wa hati (Registrar of titles). Kushindwa kumuunganisha au kumshtaki Msajili kwenye kesi ambayo...
Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limewatia mbaroni majambazi tisa wa kutumia silaha akiwemo askari polisi wa kituo cha polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Polisi...
Kutokana na umuhimu na uhitaji wa mikataba katika maisha yetu ya kila siku, nimekusanya mkusanyiko wa sampuli za mikataba zaidi ya 100 zenye lengo la kutoa mwongozo na msingi wa kisheria katika...
Introduction
Tanzania's current tax regime, characterized by a multitude of taxes and high rates, poses significant challenges for businesses and individual entrepreneurs. The array of taxes...
Habari wakuu.
Kuna mtu tumezinguana tu sisi wenyewe kitaa..sasa naona yeye ameenda extra mile kanitumia ujumbe whatsapp ananitishia kuwa ataniua mimi na familia yangu wote.
Je nichukue hatua gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.