Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nimesoma taarifa ya kuachiliwa kwa dhamana mahakamani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simuyu, Yahaya Nawanda kwa tuhuma zinazomkabili za ulawiti.
Zaidi soma: Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani...
Habari wakuu naombeni msaada wenu
Nilifukuzwa kazi nikapewa barua ya kufukuzwa na inaelekeza nitapewa madai yangu yote ndani ya siku kumi na nne (14)za kazi, ila Leo ni siku ya 16 sijalipwa...
Introduction
The history behind the law of termination of employment in Tanzania is founded on the ILO Convention number 158 of 1982 [1] on Termination of Employment. It was basically adopted by...
Hapa chini ni barua ya notisi iliyotoka kwa mwenye nyumba kwenda kwa mpangaji. Notisi imetolewa ya miezi mitatu ila inasoma baada ya mkataba wao wa awali kukamilika. Kwenye hiyo notisi, mwenye...
wanafunzi wawili wa kike wanaosoma elimu ya juu chuo kikuu cha udsm na cbe ya dar pamoja na mwanafunzi wa chuo
chuo cha ufundi veta..wamefikishwa katika mahakama ya samora kwa kosa la...
Wana JF naomba mnifahamishe kuhusu sheria ya upangaji kama mpangaji anataka kuhama. Je anatakiwa amjulishe mwenye nyumba muda gani kabla ya kuhama? Au mwenye nyumba akitaka kuchukua nyumba yake...
Wanasheria nauliza siku za kifungo huko Jela huwa zinahesabiwaje..Je ni kwa mfumo wa 24hr per day au day and night inajitegemea.
Niliwahi kusikia sehemu fulani kuwa MTU kwamfano akihukumiwa...
“AN ADVOCATE'S PERSPECTIVE”
Recently, a letter from various embassies highlighted numerous challenges faced by foreign investors with the Tanzania Revenue Authority (TRA). Initially, I suspected...
Introduction
In his recent budget presentation, the Minister for Finance, Dr. Mwigulu Nchemba, emphasized the crucial role of withholding tax compliance by taxpayers. This underscores the...
MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO.
Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike...
Kwanza nitangulize shukrani.
Mwaka 2021 mama yangu alipata ajali sasa akafungua kesi ya madai ikaenda ikafikia mpaka hatua ya utekelezaji kabla ya kufanya utekelezaji ikagundulika kuwa jina la...
In reviewing the Finance Bill 2024, published on June 18t, 2024, SARC Law Chambers would like to highlight our opinions and recommendations regarding certain proposed and non-proposed provisions...
Habari za wakati huu,
Mimi ni mwananchi wa kawaida, raia wa Tanzania. Nipo Dar es Salaam katika eneo fulani ambalo lilikuwa shamba la marehemu mzee wangu, sasa limekuwa eneo la makazi. Ilibidi...
Habari wakuu, nna jamaa yangu alikuwa anafanya Kazi kampuni tuiite X, lakin kampuni X ime outsource position yake kwenye kampuni Y ambayo kampuni Y ndo iliyo muajiri na kumpa mkataba na inahusika...
Habarini za uzima ndugu zangu
Husika na kichwa cha habari hapo juu, naomba Niende moja kwa moja kwenye mada nilikua na mpangaji ambae alilipa pesa ya kodi yake vizuri wakati anaingia shida ni...
Hali hii naona ifike mahali itazamwe kwa jicho la tatu. Ukiwatazama hawa wanaojiita Mitume hasa kwa hapa DSM, kwa kweli kuna utata mno kwao, na kwenye baadhi ya shuhuda za wafuasi wao.
Kwa akili...
Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa masuala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii haimaanishi ni wale waliosoma sheria tu...
For more than two decades, Tanzania's tax disputes have been adjudicated by a structured system starting with the Tax Revenue Appeals Board (TRAB), followed by appeals to the Tax Revenue Appeals...
“Key Focus on Transparency, Governance, and Accountability”
As Tanzanians await the presentation of the 2024/2025 financial year budget by the Minister of Finance, the nation stands at a critical...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.