Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari waungwana.
Nimekuja hapa nikiwa na swali moja
Endapo majina ya kwenye vyeti vyote vya elimu Kuanzia sekondari mpaka chuo yanasomeka CHAI C MBILI
Ila
Kwenye NIDA CHAI CHAPATI MBILI.
Cheti...
Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani(kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya...
Kuna mwanamke nimeishi nae kwa muda wa miezi 6, mambo yakaharibika baada ya kumkuta na mwanaume chumbani kwake, kukatokea ugomvi wa hapa na pale.
Sasa huyu mwanamke ananishitaki mahakamani kwa...
MGOGORO WA ARIDHI TONDORONI
Kesi ya ardhi namba 85 ya mwaka 2016, iliyowahusisha wanakijiji zaidi ya 700 wa Tondoroni dhidi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Leo(03.04.24)mahakama kuu chini...
SHERIA INAKATAZA KUOA AU KUOLEWA NA X WA BABA AU MAMA YAKO.
Bashir Yakub,WAKILI
+255714047241.
Kifungu cha 14 Sheria ya Ndoa kinakataza kumuoa au kuolewa na mtu yeyote aliyewahi kuwa mke au mme...
Hivi dhamana si haki ya kikatiba?
Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ?
Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 29 nilikuwa naomba kueleweshwa katika hili mnamo tareh 13 nilipatwa na tatizo ila katika tatizo nilikuwa kazin na yule alikuwa mteja mie sikuingia kazini maana...
The Imperative of Timely Responses to 90-Day Notices and Swift Compliance with Court Decrees
Introduction
In Tanzania, the legal framework governing civil proceedings against the government is...
Habari wana jamvi, naomba ufafanuzi wa kisheria kwa jambo hili.
Bwana X aliomba mkopo wa benk kwa dhamana ya nyumba ambayo ilikuwepo eneo ambalo halijapimwa na viongozi wa mtaa wakadhibitisha hati...
Wakuu naombeni msaada wenu kuna kiwanja niliachiwa na baba yangu miaka ya nyuma kipo Tanga wilaya ya Lushoto nahitaji kuuza hilo eneo sasa kwa bahatimbaya hatimiliki Sina sasa nawezaje kuuza...
Wana Bodi,
Kwanza nikiri mimi si Mwanasheria.
Nimekutana na jambo la fumanizi katika mazingira tofauti na kuona watu wakiadhibiwa, wakiaibishwa na kulazimishwa kuingia katika mikataba mbalimbali...
Kilele cha maonesho ya Wakulima na Wavuvi Nanenane kimewadia, Wananchi wanaendelea kujitokeza kwa wingi kwenye mabanda tofauti likwemo la Mama Samia Legal Aid Campaign ili kupata msaada wa...
Nimetembelea bonde la Ngorongoro mara kadhaa na kuona wanyama pori wengi ndani ya kama shimo hivi, inavutia sana na kushangaza. Lakini nimeona pia na makundi ya ng'ombe, punda, mbuzi na kondoo...
KURUDISHA ZAWADI.
Kifungu cha 71 cha Sheria ya ndoa kinasema kuwa mtu anayo haki ya kufungua shauri kudai kurejeshewa zawadi ambazo alizitoa kwa mtu ambaye alikuwa ana ahadi ya kufunga naye ndoa...
Ikiwa Mtu ametoa tuhuma zinazohusu mtu au chama fulani, lakini kwenye tuhuma hizo akaandika jina ambalo sio sahihi. Je, Mtu huyo anaweza kushtakiwa na wahusika ambao kiuhalisia sio waliotajwa...
Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika...
“A Pillar of Fairness and Trust”
Introduction
During the swearing-in ceremony for newly appointed government officials, President Hon. Samia Suluhu Hassan emphasized the significant...
Habari wakuu
(English version below)
Ninafanya utafiti juu ya Changamoto za Kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi katika Tanzania Bara. Ili kupata matokeo ya utafiti yenye thamani, naomba...
Mnamo tarehe 26 Juni 2024, Mwanasheria Mkuu aliwasilisha mswada wa Sheria ya Marekebisho Mbalimbali Na. 2 ya 2024, ambao umefanya marekebisho kadhaa ya sheria, lakini kinachovutia zaidi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.