Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nawasalimia kwa jina la JMT.
Kunahitajika wakili au mwanasheria wa mambo yanayohusu mazingira, Kibaha, mkoa wa pwani.
Kuna kiwanda kipya kabisa, kimejegwa ubavu kwa ubavu na makazi ya watu...
Naomba msaad juu ya aina za uraia km zilivyo ainishwa katik(Tanzania Citizenship Act, No. 6 of
1995 and its Regulations of1997) maa nashindwa kumjua yupi mtanzania wa kuzaliwa kisheria na yup...
USIOMBE YAKUKUTE WE KAPUKU
SEGEDANC YAKO
Korti yamwachia mtoto wa Keenja
na Happiness Katabazi
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, jana ilimwachiria huru mtoto wa mbunge wa...
Je, mke wangu akiwa hai nikaandika wosia bila yeye kuweka saini kwenye wosia, wosia huo utakuwa halali au batili?
Naomba case law inayoelezea scenario hiyo.
wadau naomba msaada wa ushauri wa kisheria.
kabla ya utaratibu wa mashamba ya kijiji kipindi cha Nyerere tulikuwa tukimiliki mashamba makubwa huko kijijini kwetu msoma. baada ya utaratibu wa...
Mwezi Ulopita Nilinunua Nyumba 50M Kutoka kwa Mama Mmoja.
Tuliandikishana kwa Mwanasheria, lakini kipindi tushafanya malipo na tunaelekea kusaini mkataba wa mauziano aliomba apewe siku 2/3 za...
Kesi hii iliripotiwa Tarehe 17 July, 2014.
Mchungaji Christopher Mtikila amefungua kesi katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kumshitaki Askofu Mkuu wa Kanisa laAnglican Tanzania Dk. Valentino...
Msaada wajuzi wa sheria. Nina kesi mahakamani ilikua zamu ya kutoa ushahidi upande wa (A) mlalamikaji kaleta shahidi ambae amesema uongo mahakamani na kala kiapo.
Ushahidi wa yeye kusema uongo...
Naulizia, inakuwaje kisheria kama Mtuhumiwa amewasilisha hati ya ushahidi iliyoghushiwa, Mbali na kuikataa isitumike, Je naweza nikafungua Shauri jingine dhidi yake Kwa kughushi nyaraka?
Inasemekana:
Kwa Sheria ya Tanzania, hakuna mtu anayeweza kumiliki ardhi. Anaweza kupangishwa tu, labda kwa kipindi cha miaka 99.
Kwa Sheria za Tanzania, Rais ndiye "mmiliki" wa ardhi yote...
Shemeji yangu alikuwa anaishi/amepanga kwenye nyumba za shirika la uma. Kutokana na matatizo ya kiuchumi alichelewesha kodi ya pango na hivyo shirika lile likamvunjia mkataba wa upangaji na kumpa...
Habari za shughuli ndugu zangu,
Naombeni mnishauri kwa jambo hili ambalo naona nalazimika kulifanya, nilipata msiba kwa kufiwa na mke wangu wa ndoa mwanzoni mwa mwaka huu, baada ya mazishi kuna...
Msaada inakuaje pale mtu anapoingia ofisini (WEO) au (VEO), ghafla baada ya kupewa utaratibu anaotakiwa kuufata anaananza kumtukana kiongozi huyu.
au hata kwenye mkutano kiongozi kutukanwa...
Mahakama Kuu ya Tanzania masijala kuu ya Dodoma imebaini upendeleo katika muundo wa Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili (National Advocates Ethics Committee) baada ya Wakili Peter Madeleka...
Mjumbe wa mtaa kaniletea barua ya wito naitajika kwa afisa mtendaji.
Barua imeandikwa naitajika kwa 7bu ya kutolipa ela ya takaa
Nimeshindwa kujua kwanza mm ni mtumish wa serikalini pia nipo...
Wakuu habari,
Nilitaka kujua ikiwa unafanya mapenzi na binti aliye chini ya umri wa miaka 18 kwa hiyari yake na tayari alishazaa huko nyuma kuwa ni kosa kisheria au la, na kama ni kosa adhabu ni...
Wakuu Mimi umri wangu ni miaka 44 mpaka nafikia umri huu sijabahatika kupata mtoto wa ndoa zaidi ya kubambikiwa watoto wa nje ya ndoa, Mimi ni mjasiriamali japo pia ni mtumishi serikali katika...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Wataalamu wa sheria , naomba kufaham faini anayostahili kulipa mtu wa boda endapo atakutwa na makosa ma nne
Au mtu wa gari anayeweza kukutwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.