Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
It's lady action again.....drama queen.
Haya najua wengi mtatukana weee lakini ndio nishaumbwa hivi sasa nitafanyaje?
Ipo hivi baada ya kutengana na mume kwa miezi kama 4 hivi, nimerudi na...
Kuna kitu hakiko sawa, nadhani subject to discussion (maana sasa tunaruhusiwa kujadili hukumu)
Since no reason was given, the first respondent, Permanent Secretary, Public Service Management &...
Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika...
Baba aliuza shamba miaka kumi iliyopita akapewa pesa nusu, mnunuaji hakupewa maandishi yoyote na yeye hajamalizia pesa mpaka leo na amejenga nyumba pamoja na kupanda minazi je tunaweza kulirejesha?
HATUA NA TARATIBU ZA KUFUNGUA MAOMBI YA KUSIMAMIA MIRATHI
Je, mtu akifa na ameacha mali, haijalishi kuna wosia au hakuna wosia, zipi ni hatua za kufata ukitaka kufungua shauri la mirathi au...
Tamko la rais (decree) anapolitoa huwa ni sheria. Kinachofanyoka hutungiwa mwongozo wa mipaka ya matumizi yake.
Wakati rais wa awamu ya pili aliporuhusu mabinti wa kiislam kuvaa hijab, wako...
“A CALL TO ACTION FOR TAX DISPUTE RESOLUTION”
President Samia Suluhu Hassan has been steadfast in her commitment to economic growth and stability for Tanzania. During a recent event in Zanzibar...
Wakuu, nilitangaza kuuza nyumba yangu na nikaletewa na dalali mteja. Mteja huyo akaomba kulipia nyumba hiyo kwa installment mara tatu. Awamu ya kwanza ilikuwa tarehe 23/12/2023. Awamu ya pili...
Naomba msaada wa kufahamu kama kampuni X inaweza kutuma police kukukamata na kukufungulia kesi ya kuisababishia hasara ikiwa mfanyakazi huyu ameajiliwa na kampuni Y (Yani outsorced from Y na...
JINSI YA KUKAZIA AU KUTEKELEZA HUKUMU MAHAKAMA YA MWANZO:
Mwandishi: Zechariah Wakili Msomi
Zakariamaseke@gmail.com
(0612275246 /0754575246 - WhatsApp)
Unaposhinda kesi ya madai, mfano umefungua...
Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwahi kuwa na hati ya hilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula...
Mnisaidie nitafungwa
Nlikamatwa hapa kwetu kulitokea taharuki vurugu watu wakafanya vurugu kituo cha polisi kuvunja kwa mawe na kuchoma gari la raia aliekua amepaki maeneo ya kituo, Baada ya kuja...
Habari wanajamii,imetokea Leo polisi,wakiwa kwenye gari Binafsi,wamekuja kwa jamaa bila balozi wa mtaa na kugonga geti na kumkuta mke awaonyeshe alipo mumewe .Cha kushangaza mwanamke akawa kama...
Nchi hii ina Rundo la Vituko, Kubwa zaidi ni kuzidi kuongezeka Kwa Wanasheria njaa, waganga matumbo, walafi wa kila kitu Kwenye Fani hii Muhimu sana.
Mimi nilikwepa sana kusomea Sheria ili...
Karibu katika sehemu ya pili ya uchambuzi wa kina wa kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake dhidi ya Jamhuri. Kesi iliyo na historia ya kuvutia na kusisimua sana, kesi iliyoficha mengi yasiyojulikana...
"Kuepusha kuwachosha wasomaji, Swali pekee linalobakia katika mkasa huu ni Je, ni hatua gani za kisheria zilichukuliwa baina ya wahusika?. Jibu la swali hili tutakua nalo katika sehemu ya tatu ya...
Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili,
Kwa mfano...
Habarini,
Sheria za Tanzania haziruhusu kukamata mali za serikali na Taasisi za Umma za serikali za Tanzania katika utekelezaji wa hukumu pale inapodaiwa na kushindwa kesi za madai kitu ambacho...
Ndugu zangu wana JamiiForums,
Ninaomba kufahamishwa juu ya kesi za madai kuanzia procedure za kufungua kesi. Ninadaiwa milion 3 ambazo niliazimwa na rafiki yangu wa karibu, wakati tunakopeshana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.