Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ndugu zangu mliopita au mliopo kwenye uwanja wa mapambano(Law school) tujuzeni hali halisi ya pale..naanza kwa kuuliza maswali yafuatayo;
1.Ni kozi ngapi zinafundishwa
2.Utaratibu wa malipo ya...
SURA YA KWANZA
HISTORIA YA MFUMO WA MILKI YA ARDHI
Chimbuko na misingi ya mfumo wa umiliki na matumizi ya ardhi yaliyopo sasa umepitia katika vipindi vifuatavyo:-
A. MFUMO WA MILKI YA ARDHI...
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa...
Asha Mkwizu Hauli akipelekwa Mahakamani
R. v. Asha Mkwizu Hauli, Crim Sessions Case No 3 of 1984 (DSM) (unreported).[/COLOR]
Mnamo tarehe 19 Novemba , 1983 mwanamke mmoja aliyejulikana kwa...
Mkataba wa ajira, kama ilivyo desturi kwa mikataba mingine kwa mujibu wa sheria, huzaliwa, huishi na kufa; kama ilivyo kwa binadamu na viumbe hai vingine.
Unazaliwa mara baada ya mwajiriwa na...
"Why do we Kill People who Kill People to Show that Killing People is Wrong?"
Je, ni sawa kuwa na Hukumu ya Kifo?
Baada ya yule Chizi wa Norway kuua kadamnasi ya watu (ukizingatia Norway life...
When I was in secondary school, the girl used to sit next to me died after performing illegal abortion. It was very sad because it happened a week before we started our final exams.
Women who...
Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako.
Mwulize jina lake
Mwulize namba yake ya uaskari
Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa.
Raia ana haki ya...
Habari wakuu wa sheria, nimekuja mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba msaada wa kishelia.
Nitajitahidi kuifupisha kadri iwezekanapo lakini mtaelewa ninachoomba kutoka kwenu.
Mimi nilikuwa ni...
HAKI YA MTOTO PINDI WAZAZI WANAPOTENGANA.
Mtoto ana haki ya kupewa matunzo mazuri pindi wazazi wanapotengana, sawa na matunzo aliyoyapata pindi wazazi walipokuwa wakiishi pamoja.
Mtoto atakuwa...
Habari zenu manguli wa sheria?
Naomba msaada mama yangu mzazi miaka 10 iliyopita alianzisha kesi kati yake na Taasisi moja kubwa sana ya kidini nchini! Taasisi hiyo iliuziwa kiwanja kikubwa sana...
Poleni na majukumu ndugu zangu Wanafamilia ya JamiiForums!
Nimerudi Tena kuleta mrejesho na kuomba kuendelea kuongezewa uwezo kwani naamini kuwa humu mpo baba zangu, mama zangu na wengine wengi...
Ally Yusuph Makamba,aliye kuwa anafanya kazi ktk Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
Alifukuzwa kwa kosa la ulevi saa za Kazi na taarifa zaidi zinasema amekuwa akilewa mara kwa mara kitendo kinacho...
Tangia kampuni ya sigara tanzania imepata mkuruzenzi mpya wa masoko na mauzo mtanzania baada ya kuondoka Mkenya kulizuka wimbi la kufukuza wafanyakazi,mkurugenzi huyu mtanzania alianza na...
Wakuu habari nipo kwenye harakati za kubadilisha jina wa Sababu binafsi.
Nilienda kwa advocate akasema anaandaa deed pool kwa 50k then after nipeleke wizarani nitalipia 32500/=
Sasa Kuna mtu...
Mwenye mali akifa, kodi za ardhi zinaendelea kuhesabiwa ?
Nani anadaiwa ?
Shauri la Mirathi limeisha baada ya miaka 7, Daudi umepewa nyumba ya marehemu babaako. Kupata nyaraka za umiliki mpya...
Wakuu heshima kwenu.
Habari za jioni, poleni na majukumu (kwa wale wenye majukukumu).
Naomba kufahamishwa KISHERIA kama kichwa cha uzi kimavyojieleza.
Mi hivi, baada ya mgogoro wa ghafla sana...
Habari wana jamii,kuna jambo naomba muongozo kidogo wa kisheria kwa mwenye ufahamu nalo.Tuna mali tumerithi toka kwa baba yetu na tuko watatu lakini kwa bahati mbaya mwenzetu mmoja amefariki na...
Habari wakuu.
Kuna mhusika ana eneo lake ukubwa ni heka moja Kwa vipimo vya macho lakini ndani ya Hilo eneo Kuna nguzo ya umeme laini kubwa ile ya 33.
Sasa anataka kupeleka wataalamu wa Ardhi...
So i am 25 right ? I have been using the same name in most of my Certificates, but for the last 10 years I found out I am a bastard son and my Father Claims to not have had a bastard son, So I am...
Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi
Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati...
Dear all,
My reading and interpretation of Section 40 of the Employment and Labour Relations Act. Cap. 366 R.E. 2019 tells me that it was the intention of the Legislature to make it mandatory for...
Habari,
Naomba msaada kisheria hili lipoje, mwaka 2020 mwezi wa tano, nilipata ajira katika kampuni moja jijini Dar, nimekuwa nao kwa muda wa miaka 4 mpaka mwaka 2024 mwezi wa 7.
Ile naondoka...
Habari Wana JamiiForums Napenda kujua hili suala la dada poa al maarufu Malaya hapa kwetu kumekuwa wakikamatwa nakupelekwa police ila sijawahi sikia hukumu zao zikitolewa mahakamani sasa nataka...
Napenda kujua kama umetokea ugomvi kati ya wanandoa ikatokea mmoja wao kapatwa na umauti bila kusudia.
Je, taratibu gani zitafata kisheria?
Je, aliyehusika anaweza kupunguziwa adhabu ya kifungo...
Natumaini hamjambo.
Nina jambo ambalo linahitaji muongozo:
Nina Kampuni,imesajiliwa kwa jina furani. Imejitokeza kampuni nyingine, yenye jina kama la yangu. Activities ni tofauti. Sasa, wanaomba...
Juma hili tumepokea simu na hata
picha za simu katika Kituo cha
Huduma ya Simu kwa Mtoto zikiwa na
taarifa za kufanyiwa ukatili wa
kingono watoto wa kike.
Picha za watoto hao sasa zimesambaa...