Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari wana jukwa, Ndugu yangu anataka kuanzisha shule. Lakini hana majengo. Taratibu ni kwamba lazima awe na majengo ya kwake sio kupanga....sasa anabakiwa na yafuatayo; 1. Ama asajili kwa jila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba kuuliza utaratibu/ sheria ya ustawi wa jamii inakuaje kama unataka baba wa mtoto amtunze mtoto?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu wana-Jf! Naombeni kuuliza kuwa,huu utaratibu kwa wajumbe wa nyumba kumi/serikali za mitaa kutoza Tsh/= 2,000 hadi 5,000 kwa barua moja kwa wananchi wanaohitaji huduma hiyo, ni...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Ninapatwa na hasira sana ninavyoona watoto wanakua bila kuwajua baba zao, hivi kunakifungu chochote cha kisheria au kesi iliyofanyiwa maamuzi na mahakama juu ya hii hali? hebu tusaidiane kwa hili...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Wakuu; Nimetatizwa sana na zoezi la upigaji wa kura na utangazaji wa matokeo kuhusu bunge maalum la katiba na upitishwaji wa rasimu ya katiba. Idadi ya wajumbe imeongezeka kutoka 624 (Kadri ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mkuu wa mkoa wangu anatulazimisha tena kwa vitisho kulipa Tsh:10000,''asiyetaka ahame mkoa wangu''anatumia ibara ya 25(3)(d) ya katiba.Kuchangia maendeleo ya taifa ni jambo jema lakini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa. Ninataka kununua kiwanja naomba kuelekezwa ni vitu gani vya msingi kisheria ambavo natakiwa kuvifanya.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama polisi wamekagua gari na kukuta kuna kosa na akaandika notification kisha dereva akashindwa kulipa hela iliyoandikwa kwenye notification. Je ni halali kwa polisi kuchukua leseni ya dereva na...
0 Reactions
40 Replies
10K Views
Or Can you put legality in to illegality? kwa wanasheria na wanaojua sheria naomba mnisaidie ikiwezekana nipe na mifano.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wale askari waliopiga picha wakiwa kwenye nahaba mazito wamefukzwa kazi sasa swali 1.kwa kosa gani nakwa sheria gani 2.na aliyewapia naye ana kosa gani na kwa sheria gani 3.je askari anaruhusiwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za mida wakubwa, naomba kusaidiwa katika hili. Kuna rafiki yangu mmoja ambaye tulikua tukifanya biashara pamoja na kutokea kuaminiana sana, kuna kipindi biashara yake iliyumba kidogo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
mwenye nayo naomba aiweke hapa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Despite the truth that law has been defined by different jurists, my experience to what has been going on in our country I have come to agree with Karl Max's definition of law that "LAW IS AN...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawasalimieni wana Jf katika jukwaa hili, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kilivyo ! ! Mfano; Marehemu alikuwa na wake wawili kwa muda mrefu wakati wa uhai wake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wa-JF, Naomba mwenye uelewa anisaidie kuhusu ishu hii ifuatayo,ikiwa moja ya cheti cha mtu kimeandikwa kwa kugeuza,unatakiwa ufanye nini ili majina yote yaweze kutambulika kisheria?Kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Moja ya malipo ambayo mfanyakazi analipwa pale mkataba wa kazi unapovunjwa ni usafiri kumrudisha mfanyakazi eneo alipoajiriwa. Swali langu ni je malipo hayo mwajiri atatakiwa kulipa hata kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kati ya taasisi hizo mbili hapo juu,nani ana mamlaka ya kuamuru mdai na mdaiwa wakapime DNA? Kuna mwanamke ana claim mimi ni baba wa mtoto wake na ameshapeleka shauri Ustawi wa Jamii,na wamenipa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa wanasheria waliobobea na wanasheria wanafunzi naomba msaada wa namna ninavyoweza kupata historia ya sheria ya ushahidi kwa nchi za Africa mashariki hasa kwa nchi za Tanzania, kenya na uganda...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
1. Zimekuwa zikitolewa kauli mara kwa mara kwamba kuna watu wasiowatakia mema waislamu kiasi kwamba hawataki wawe na Mahakama za Kadhi ambazo ni sehemu ya Ibada zao! Kauli hizo zimekuwa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari? Rafiki yangu, Mtanzania, amenunua ardhi kule Zanzibar kwa kufuata mashauri yote ya sheha wa kijiji, alipata kibali cha kujenga kutoka halmashauri lakini watu wa ofisi ya ardhi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom