Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wana jukwa,
Ndugu yangu anataka kuanzisha shule. Lakini hana majengo. Taratibu ni kwamba lazima awe na majengo ya kwake sio kupanga....sasa anabakiwa na yafuatayo;
1. Ama asajili kwa jila...
Habari ndugu wana-Jf!
Naombeni kuuliza kuwa,huu utaratibu kwa wajumbe wa nyumba kumi/serikali za mitaa kutoza Tsh/= 2,000 hadi 5,000 kwa barua moja kwa wananchi wanaohitaji huduma hiyo, ni...
Ninapatwa na hasira sana ninavyoona watoto wanakua bila kuwajua baba zao, hivi kunakifungu chochote cha kisheria au kesi iliyofanyiwa maamuzi na mahakama juu ya hii hali? hebu tusaidiane kwa hili...
Wakuu;
Nimetatizwa sana na zoezi la upigaji wa kura na utangazaji wa matokeo kuhusu bunge maalum la katiba na upitishwaji wa rasimu ya katiba.
Idadi ya wajumbe imeongezeka kutoka 624 (Kadri ya...
Jamani mkuu wa mkoa wangu anatulazimisha tena kwa vitisho kulipa Tsh:10000,''asiyetaka ahame mkoa wangu''anatumia ibara ya 25(3)(d) ya katiba.Kuchangia maendeleo ya taifa ni jambo jema lakini...
Kama polisi wamekagua gari na kukuta kuna kosa na akaandika notification kisha dereva akashindwa kulipa hela iliyoandikwa kwenye notification. Je ni halali kwa polisi kuchukua leseni ya dereva na...
wale askari waliopiga picha wakiwa kwenye nahaba mazito wamefukzwa kazi sasa swali
1.kwa kosa gani nakwa sheria gani
2.na aliyewapia naye ana kosa gani na kwa sheria gani
3.je askari anaruhusiwa...
Habari za mida wakubwa, naomba kusaidiwa katika hili.
Kuna rafiki yangu mmoja ambaye tulikua tukifanya biashara pamoja na kutokea kuaminiana sana, kuna kipindi biashara yake iliyumba kidogo...
Despite the truth that law has been defined by different jurists, my experience to what has been going on in our country I have come to agree with Karl Max's definition of law that "LAW IS AN...
Nawasalimieni wana Jf katika jukwaa hili, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kilivyo ! !
Mfano; Marehemu alikuwa na wake wawili kwa muda mrefu wakati wa uhai wake...
Habari wa-JF, Naomba mwenye uelewa anisaidie kuhusu ishu hii ifuatayo,ikiwa moja ya cheti cha mtu kimeandikwa kwa kugeuza,unatakiwa ufanye nini ili majina yote yaweze kutambulika kisheria?Kwa...
Moja ya malipo ambayo mfanyakazi analipwa pale mkataba wa kazi unapovunjwa ni usafiri kumrudisha mfanyakazi eneo alipoajiriwa.
Swali langu ni je malipo hayo mwajiri atatakiwa kulipa hata kama...
Kati ya taasisi hizo mbili hapo juu,nani ana mamlaka ya kuamuru mdai na mdaiwa wakapime DNA?
Kuna mwanamke ana claim mimi ni baba wa mtoto wake na ameshapeleka shauri Ustawi wa Jamii,na wamenipa...
Kwa wanasheria waliobobea na wanasheria wanafunzi naomba msaada wa namna ninavyoweza kupata historia ya sheria ya ushahidi kwa nchi za Africa mashariki hasa kwa nchi za Tanzania, kenya na uganda...
1. Zimekuwa zikitolewa kauli mara kwa mara kwamba kuna watu wasiowatakia mema waislamu kiasi kwamba hawataki wawe na Mahakama za Kadhi ambazo ni sehemu ya Ibada zao! Kauli hizo zimekuwa...
Habari?
Rafiki yangu, Mtanzania, amenunua ardhi kule Zanzibar kwa kufuata mashauri yote ya sheha wa kijiji, alipata kibali cha kujenga kutoka halmashauri lakini watu wa ofisi ya ardhi...