Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Haki iko kwa nani? mtu ameuziwa shamba katoa pesa kidogo kwa miadi ya kumaliziana kwa muda fulani na wameandkishiana kisheria lakn mwenye shamba akawa anashda kabla ya muda wa kumaliziwa pesa...
Wakuu naombani kujuzwa hii kodi ya import duty nitaipata kwenye sheria au document gani? nimecheki website ya TRA naona VAT na Exercise duty.
msaada tafadhali kwa anayejua import duty...
Hi JF Members,
I need a place where I can get Valid, Authoritative (Not Like REDET) reasearch statistics on Child Adoption, Abuse and Abortion data On Tanzania first and then any other Nation...
rindi na mtwara ni mojawapo ya ngome za cuf. cuf wamekilaumiwa na serikali kwamba wanchochea fujo mtwara. hata hivyo wafuasi wa cuf wamekuwa wakipigwa na jeshi la wananchi bila huruma.cuf wamekuwa...
Kuna taasisi moja inayohusika na elimu ya juu hpa dar-es-salaam imewafukuza wanafunzi 45 kwa kosa la kufoji risiti za ada.Ni kweli makosa haya yalifanyika lakini taratibu za kumfukuza mwanafunzi...
Tafadhari ndugu yangu mimi nina rafiki yangu amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na ametumikia kama mwezi sasa na siku chache .Ndugu zake wamefuatilia kwenye ofisi za ustawi wa jamii ili apewe...
WanaJF,
Hivi ni kweli anayeua kwa upanga naye atakufa kwa upanga? Kama maneno haya ni kweli basi namwomba mwenyezi Mungu yatimie kwa wale wote wanaolihujumu taifa hili kwa kuwakandamiza wanyonge...
Wapigeni wanaokaidi/kiuka sheria halali, alisema Pinda wiki iliyopita. Tuitafakari kauli ya Pinda kisheria.
1. Kwanza, sheria mama inasema watu wote wako sawa mbele ya sheria na wanalindwa na...
Nataraji kuwasiliana na wanasheria kufungua kesi dhidi ya baba wa taifa kwasababu zifuatazazo;
1. alimuuliza nan kutufanya tufate siasa ya ujamaa,
2. alimuuliza nan kutuunganisha na zanziba,
3...
Nina tumiwa msg za vitisho kwa namba nisio ifahamu,nimetoa tarifa polis wamenipa rb,lakn kuitambua namba pols wanadai laki tatu ili waende dar kuulizia namba ni ya nan? Nichukue hatua gani...
Habari zenu?? Nlikua naomba soft copies za "The employment and labour relations (code of good practice) rules 2007 na labour institutions(mediation and arbitration) rules 2007 km kuna mtu anazo.
Mods naomba msinchanganye hii:
Wanasheria mnasemaje ktk hili?Ugaidi umekuwa ukilazimishwa in a predatory ways..Je ni halali?
Tumeona majaribio mengi ya kulazimisha ugaidi yakifanywa na polisi,kwa...
Wadau wa Sheria katika jukwaa hili, Mimi ni Kijana niliye hitimu elimu ya kidato cha sita mwaka huu na kupata ufaulu wa daraja la pili kwa point 11. Nimechelewa kufanya maombi TCU na HESLB kwakuwa...
Kama kuna siku niliokaribia kupata mshutuko wa makalio ni jana niliposiki mh dpp ameamuru kesi ya idd isimba a wenzake kufutwa ..binafsi nimewiwwa kupenda hiki cheo na natamani siku moja kama si...
I am a South African citizen,offically married both in SA and Tanzania to a Tanzania citizen.I recently ,end of march,delivered our new baby boy,a new tz citizen.My visa was intitally only...
KWA WALE WANASHERIA NA MNAO ZIFAHAMU VIZURI SHERIA NAOMBA MNIFAFANULIE HILI
Sheria ya nchi yetu inasemaje kuhusu (ugaidi)?
Na niwapi kesi huwa considered kama kesi ya ugaidi? Je kosa la...
WASHINGTONThe Supreme Court dramatically advanced gay rights Wednesday (June 26, 2013) in rulings that direct the federal government to provide equal treatment to same-sex spouses and allow the...