Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

kwa kuwa pinda amevunja katiba ya jmt aliyoapa kuilinda kwa kuaziga mtu anayevunja katiba apigwe, nawashauri wanasheria wa chadema wafuate taratibu za kumuondolea kinga ya bunge ili aburuzwe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa kampuni ya Principal Company Limited, Godfrey Mosha ambaye ni mmoja wa washitakiwa wa kesi ya wizi wa pesa katika Akaunti ya Madeni ya Nje (Epa) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
naomba kufahamu kama ni sawa kukatwa hela ya nssf wakati nipo kwenye kipindi cha matazamio.nimepata nafasi ya kufundisha shule fulani ndiyo mwenye shule kanimbia hivyo.wataalamu naomba kufahamu.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kiubinadamu,ni kosa kubwa na kinyume cha utawala wa kisheria na haki za binadamu kuruhusu mauaji ya raia wakaidi.Kwa mujibu katiba ya nchi ibara ya 6(b),(c) na (e),kutokana ibara hii Mh Pinda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa karibu repoti ya Haki za Binadamu iliyotolewa wiki liyopita na mienendo ya wanaharakati dani na nje ya nchi hasa mkutano wa mashoga na wabunge wiki hii. Tujiandae kuletwa sheria...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
waungwana, je ni utaratibu gani wa kufuata pindi ninapotaka kubadili hati ya kiwanja yenye majina mawili na libaki moja na mm mwenye ni mmojawapo wa majina hayo yalipo kwenye hati, msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye kilio cha muda mrefu cha wanachuo wa the Law school of TZ kujua hatima yao kimefikia ukingoni. Zaidi ya mawakili 300 wanatarajia kuapishwa hivi karibuni... Nawatikia kila la heri na...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
HV sheria ikifanyiwa mabadiliko inapokamilika inaandikwa kwenye kitabu cha peke yake au kinatoka kitabu kipya chenye sheria husika mpya FULL?.
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Wanabodi naomba maoni yenu. Sheria inasemaje:Polisi wakifika kwa raia km wahalifu walio tayari kuhatarisha maisha ya raia?Je raia anawezakujilinda hata ikibidi kuua hao polisi?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenye kujua kipengele hiki kinasemaje kuhusu Self Defence atuwekee hapa tafadhali
0 Reactions
6 Replies
930 Views
Swali ni kwamba what are the procedure and conditions precedent for the enforcement of foreign judgement in tanzania.. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Samahani wa dau wa sheria naomba mumsaidie huyu dada alizaa na mwanaume lakini mwanaume akamtelekeza pamoja na mtoto baadae msichana akampelekea mtoto ili amlee kwakuwa alikuwa aleti matumizi leo...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Can anyone give me a "quote" of the Self Defence Section 18 of the Penal Code?
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Wakuu kuna mtu anatishia uhai wangu kwa sababu ya mapenzi. Aliyekuwa mpenzi wake sasa hamtaki tena na ni mchumba wangu. Ananivizia akiwa na kundi la wenzake na kutaka kunidhuru lakn nimekuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Eti waliokamatwa Arusha wakiombolzea lilikua kusanyiko haramu..........hii imekaaje kisheria? nisaidiwe hapa
0 Reactions
3 Replies
776 Views
Baba yangu amemteketeza mama yangu na kwa sasa anauza mali za familia kuna shamba la hekali 400 linataka kuuzwa je mama achukue hatua gani kisheria kuepusha uuzaji wa ilo eneo? Na vile vile yupo...
0 Reactions
2 Replies
900 Views
HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, hivi punde imemwachiria huru Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA), Idd Simba,Mkurugenzi wa Bodi hiyo ambaye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wana sheria naomba ufafanuzi juu ya hili. Kuna kijana kampa binti mimba na walipogundulika wakatoroka. Jambo lakushangaza polisi wamekwenda mpaka kwenye familia ya yule mvlana na kumkamata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
SHAMED French Champions League winner Franck Ribery will stand trial today accused of having sex with an underage prostitute he hired as a ’birthday present to himself’. The married Bayern Munich...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii imetokea muda si mrefu baada ya kumwonesha kadi ya ccm nikiwa chumbani.....amenipa somo la kiraia kweli mpaka nimemwelewa..sasa nataka kesho nikaombe uwanachama wa chadema....aisee, kumbe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom