Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari!
Naomba wataalamu wa sheria wanisaidie katika hii isue ya magufuli kwenda kenya kumnadi raila odinga je sheria inasemaje kuhusu hili je nchi moja inaruhusiwa kuingilia siasa za nchi...
Wana jamvi kwanza kabisa naomba msaada wenu kuelekezwa zilipo ofisi za consumer association of Tanzania au chama cha walaji tanzania.
Pili ambalo ni muhimu kuna mtu anahitaji ushauri wa kisheria...
WanaJF; Naomba tulijadili hili.
Hivi ni sawa kwa jeshi letu la polisi kutumia silaha za kivita (military) katika shughuli za kiraia? hapa nina maana ya sub machine gun (SMG), silaha ambayo...
Jana wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV waliendelea kurusha tangazo la sharo millionea la Airtel kitu ambacho kinazidisha majonzi kwa ndugu, jamaa na marafiki.sasa je ni wapi...
Nipo maeneo ya manzese darajani karibia kila anayeto maoni ya katiba mpya anapendekeza siku ya ijumaa itambulike kama siku ya mapumziko ya shughuri za serikari ili kuwapa uhuru waislam kuabudu...
Ndugu wanajamvi, awali nawapa pole kwa uchovu unaotokana na majukumu ya ujenzi wa taifa letu. Niko maeneo ya ocean road Dar. karibia na makumbuko ya taifa, usiku siku hizi, hasa weekend days...
Mwaka 1998 sheria mpya kuhusu makosa ya kujamiiana ilitungwa, SOSPA, adhabu kali ya kifungo cha miaka 30 ikawekwa. na yule anayebaka mtoto chini ya miaka 10 ni kifungo cha maisha. swali je...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NEC CCM Nape Nnauye na Katibu Mwenezi wa chama hicho Mwigulu Nchemba wakirejea jukwaani mara baada ya kuwatunza watoto hao Nyambuli na Gozbert wakati wakicheza ngoma...
Brandon Jackson Sentenced to 12 Years for Defending Self Against White Mob
December 10, 2012 | Filed under: Featured,Headlines | Posted by: Editorial_Staff7
Brandon Jackson a victim of the U.S...
Jamani mimi swali langu na msaada ninaotaka toka kwenu ni je tunaweza kuchalenji sheria inayoregulate mabadiliko ya katiba na ni kwa namna gani naweza kuichalenji sheria inayofanya marekebisho ya...
Ni sababu zipi za msingi ambazo huperekea Polisi mara wawakamatapo wauza madawa ya kulevya,nyara za serikali,thamani ya vitu hivi hutangazwa,hasa madawa ya kulevya(JANGA) Swali
Je,si kweli kwamba...
Wadau wa uga huu wa kisheria naomba msaada. Nilikuwa na kesi na mwajiri wangu baada ya kunitimua kazini kinyume na taratibu. Kesi ilisikilizwa nikashindwa mwajiri akakata rufaa. Hii ilikuwa 2010...
Kuna jamaa wamezuka jijini Arusha wakidai wao wanawapa dawa wananchi za kuongeza nguvu za kiume,kutibu kisukari,nk.Jamaa hawa wamediriki kusema eti hata fanta na cocacola haifai kwa matumizi ya...
Hapa Mombasa wanaongelea jeshi lililoundwa Zanzibar linaitwa Zanzibar Tourist Police, kwa Masada wa wawekezaji wa sekta za kitalii. Ila kuna tetesi kuwa wengi wao wanajihusisha na michongo ya...
Muda huu nipo kituo cha salenda bridge.. Mara wanafika wanafunzi wa CBE na DIT Pamoja na watuhumiwa wao, wanadai waliahidiwa kupewa posho ya shs 10000/= wakienda uwanja wa uhuru kushuhudia sherehe...
what is the proper law to be cited in an application for certificate on point of law to HC for a third appeal to CAT? and what is the time limitation to lodge such an application?
Kundi la Ng'ombe.
KWA UFUPI
Akisoma hukumu hiyo jana Jaji wa mahakama hiyo, Aisha Kwariko, alisema mahakama imejiridhisha kuwa ngombe hao 82 ni mali halali ya marehemu Milika Ndudumizi na hivyo...