Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kuna tetesi kuwa leo ndiyo hatma ya aliyekuwa mbunge wa Arusha Godbles Lema tunaomba mwenye taarifa atujuze
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Wandugu nina tatizo kubwa sana hapa. Mimi ninamiliki line ya tiGO toka 2009 Mwezi wa 10 nilipokea msg kwenye simu yangu ikisema "Mr. 714507507, Your service class changed from Tigo PPS to...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
WanaJF, Naomba tu-share kuhusu uwepo wa sheria kandamizi, katiri na chinja chinja dhidi wanaume. Baadhi ya sheria hizo ni pamoja na: Marriage Act Sexual offences Special provision Act (SOSPA)...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
mim ni mhitimu wa chuo flani tanzania, nilikutana na mtu ambae najua anapoishi pia mke wake ni rafiki wa mama angu. Nikamuomba anisaidie kupata nafasi ya kusomea pilot kwa uzamin wa serikari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa,nina utata kidogo juu ya sheria za ndoa,mfano mimi nikiwa mkristu na nimefunga ndoa ya kanisani,je nitaruhusiwa kisheria kufunga ndoa nyingine bomani(ya kiserikali)? na kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeliona tangazo la airtel alofanya şharo na mzee majuto leo star tv,je mkataba unasemaje katika hilo.Naomba mnifahamishe wana jamvı!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wiki hii yote nimekuwa Tarime pamoja na Naibu waaziri MJJW pamoja naibu wa Mambo ya Ndani! Kwa kweli sheria bado inachezewa! Watoto wa kike bado wanakeketwa bila uficho. Hili bado ni tatizo Sent...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Habari zenyu wapendwa, tafadhali naomba elimu juu ya sheria inayompa haki mwajiriwa kuomba uhamisho wa kituo cha kazi, hususan kwa sababu ya kufata familia yake, ama mume/mke wake...nikipata na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi vyeo tajwa vinakuwa kwenye mashtaka yanohusiana na serikali moja kwa moja, napenda kujua ili kesi iwe ya DPP vigezo nini na REPUBLIC nae namna gani? na vipi AG? Nawasilisha wandugu...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Naombeni msaada wana sheria juu ya matumizi ya service road kama ilivyoelezwa ktk road Acts maana unapotumia service road trafick wanasema umetanua na hivyo na kosa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya kubana na kuwaletea mizengwe isiyo na sababu wanasheria waliopo katika Sekta ya Umma kutoapishwa kuwa mawakili, sasa Sera za Ofisi ya Mwanasheria Mkuu zinaonekana kubaldilika kapisa...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Woman caught smuggling cocaine in fake breasts - Colombia news | Colombia Reports . A Panamanian woman flying from Colombia was arrested in Spain for smuggling large amounts of cocaine in her...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
http://youtu.be/fu_H3q7wPAA
0 Reactions
0 Replies
3K Views
salaam, naomba kujuwa kwa aliye na documents ambayo inaonesha mshahara wa mtu kutokana na elimu aliyo kuwa nayo hapa Tanzania.nataka kumwajiri mtu sasa nilikuwa nataka kujuwa nimwanziye wapi...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Mimi kuna kitu hata hakiingii akilini, unakuta eti mtuhumiwa anapelekwa Kisutu mahakamani kusomewa mashtaka, mara unaskia eti kesi yake imeahirishwa kwa kuwa ni ya mauaji eti mahakama ya Kisutu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
ndugu zangu wanasheria unampa talaka kwa wale wenzangu wa dini ya kiislamu anapokea kwa kuweka masharti kuwa niendelee kumsomesha tena kwa maandishi ni sahh hiyo jaman , nipe msaada wako wa kisheria !
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa KWA UFUPI Mmoja wa walimu hao ambaye hakutaka kutajwa gazetini akihofia kushughulikiwa na wanafunzi hao alisema amelazimika kuikimbia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wadau nataka kuanzisha kampuni ya udadali wa kuuza na kununua bahatai mbaya miye siyo mwana sheria nilikuwa naomba msaada wa kimawazo ya kisheria nianzie wapi ili kampuni ya ngu isije kutana na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TANZANIA lawyers can you help these people. It is a group of 16 wajasiriamali who rent Mama Upendo shops. Now, the building that house the shops has been fined for a dirty latriene. The fine is...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Imekuwa ni kawaida sasa kuonyeshwa picha za marehemu katika magazeti na vyombo vingine vya habari na hata pale vifo hivyo vinapotokana na ajali. Maiti wanakuwa katika hali ambayo ni ya fadhaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom