Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
1. Nilikuwa nimeajiriwa kwenye kampuni fulani ya Kitanzania tangu 2006 hadi 2010 na nilikuwa nakatwa mafao ya NSSF kila mwezi na nina salary slips zake na hata barua ya kuacha kazi na certificate...
NDUGU ZANGU KUTOKANA NA MATUKIO MENGI YA KIGAIDI NA MAUAJI HOLELA YA RAIA HAPA NCHINI, NAKUSUDIA KUISHTAKI SERIKALI KWA KUSHINDWA KUWALINDA RAIA. HIVYO NAOMBA KAMA UNA USHAHIDI WA MTU KUTEKWA NA...
Wana JF:
Mwaka 2010 Makao Makuu ya Chadema yalipeleka orodha ya wagombea udiwani viti maalum katika Tume ya Uchaguzi ili kuiwezesha Tume hiyo kuteua madiwani wa viti maalum kwa ajili ya...
Breaking News:Kesi ya Mbagala
ya kuvunja makanisa
yafutwa.Ilikuwa for PH na
prosecution wameshindwa
kukamilisha upelelezi ndani ya
siku 60 na hawaku-file certificate
ya kuomba further...
Habarini wana Jamii Forums,
Ni mara yangu ya kwanza kupost mada hapa jukwaani ingawaje nimekua member muda mrefu kidogo..Sasa ndugu zangu mm ni Mining Engineer, nafanya kazi katika moja ya migodi...
Tarehe 29 Desemba nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kuelekea Kijiji kimoja ambacho kipo kilometa 50 kabla ya kufika Babati Mjini. Nilipofika Kituo Kikuu cha mabasi yaendayo Babati wapiga debe...
Mwanafunzi wa kike anayefahamika kwa jina la Betha Ally John (16) wa Kidato pili katka Shule ya Venessa iliyopo kata ya Isyesye Mbeya amekuwa na mahusiano ya ngono na Mwalimu wake wa somo la...
Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Zain Shaarifu Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka Mwaka huu...
Forensic experts in East Africa have underscored the need for convergence in institutional set ups in the partner states, noting the importance of optimal utilisation of forensic capability within...
Habari zenu?
Naitwa Giuseppe Zingaro, raia wa Italia, nimezaliwa Ragusa Italia, tarehe 26/11/1960.
Mwezi wa 4 mwaka 2004 pamoja na mchumba wangu wa enzi ile, Edna Boimanda (kwanzia sasa...
Kwa wale wenye taaluma ya sheria. Ikatokea umetajwa katika kesi, ambayo au husiki. Mfano, Mie: Abadala naojiwa, nika mtaja Ismail Kuwa ndio alitoa ruhusa ya mie kuiba, huku Ismail haja husika, na...
Jana tukiwa ktk benki moja ndani ya eneo la chuo cha Udom akatokea askari mlinzi wa hiyo benki akawazuia akina dada kuingia benki kisha kuwamuru kupiga magoti kitu kilichotufanya wadau wa haki za...
Kumfukuza mwanafunzi masomo moja kwa moja kwa kufeli somo moja,au kwa kufanya udanganyifu katika somo moja ni halali?kama ndiyo haki ya mtu kupata elimu ipo wapi?
Nianze kusema kuwa mimi sina utaalam wa mambo ya sheria. Siku hizi kumezuka mtindo wa mahakama zetu kumdhamini mtuhumiwa mahakani eti ni mpaka aje mdhamini ambaye ni mfanyakazi wa serikali. Huwa...
1.police anaekaa counter na kuandikisha maelezo kitaalamu anaitwaje?
2.police aliesoma sheria anaekaa mahakamani na kupokea majalada ya watuhumiwa kitaalamu anaitwaje
3.mkuu wa kituo cha police...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.