Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Leo nimejikuta mikononi mwa polisi, miongoni mwa maswali yaliyonikela ni kuulizwa dini yangu.
Kwa mazingira ya sasa swali hili inabidi lisiulizwe kwani udini unashika kazi na dini inaweza...
Heri ya mwaka mpya! napenda kufahamu kisheria kama kuna mtuhumiwa unamtafuta na una RB je kuna muda kisheria ambao umewekwa na ukipita hata ukimpata uwezi kumfungulia mashitaka? Asanten
mi ni mfanyakazi wa kampuni GFI, kampuni inafanya kazi ya kuweka dawa kwenye mafuta ya diesel na petrol ili yasichakachuliwe, ipo chini ya EWURA, cha ajabu hawa wazungu huwa kila baada ya muda...
Taarifa nilizozipata punde yule dogo wa mbagala aliyekojolea quran na kuzua tafrani ya kufa mtu pande za mbagala ameachiwa huru. Imeonekana hana hatia.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Siyo tuu kwamba Mahakama ya Rufaa imemrudisha Mh. Lema bungeni.
Bali pia kisheria, kuna kitu ambacho Mahakama ya Rufaa imekifanyia uamuzi.
Nacho ni kwamba kuanzia leo hakuna tena wagombea...
ICT hubs are sprawiing all over EA to assist developers nurture and bring to market new apps. Wondering does copyright offer real protection against infringement- i am told copyright protects the...
Wakuu salaam,
Polisi waliopelekwa Iringa mwaka jana kutoka mikoa ya jirani ikiwa ni pamoja na Dodoma,
ili kuidhibiti CHADEMA wanadai kutolipwa posho yao! Waliahidiwa kulipwa 45,000 kila mmoja...
Mimi kama mpenda haki na asiye penda kuona wanyonge wana nyanyaswa nimeamua kuwaletea kisa hichi hapa jf wadau na wapenda haki kwa kila mtu waweze kusoma na kuchukua hatua kwa yeyeto ambaye...
Naombeni ufafanuzi juu ya aina hii ya mahakama coz nimepewa maneno kibao yaa kimtaa sasa nataka nisikie jinsi GREAT THINKERS mnaijuaje kiutendaji wa kazi.
Mahakama ya Kisutu kumezuka mtindo unaoashiria ubaguzi kwa kesi zinazowahusu wafuasi ama viongozi wa dini ya Kiislam.Siku za karibuni, tumeshuhudia matumizi ya gharama kubwa zisizo na sababu kwa...
Wadau naomba kuuliza.
je, kuna sheria yeyote nchini hasa maeneo ya vijijini inayomzuia mfanya biashara ndogondogo hasa za mbogamboga kutofanyia biashara yake katika eneo la nyumba yake mpaka...
Source: CNN.com
By Kristina Sgueglia, CNN
updated 7:02 PM EST, Fri January 11, 2013
New York (CNN) -- A review of forensic evidence in New York City rape cases has uncovered 26 incidents...
Law makers, Tucta, ATE, and the government need to revisit this law it is one of the act with a lot of contradictory and unimplementale act I have come accros! The act has been created if not...
Wadau wa maswala ya sheria,mimi ilitokea kuzaa na dada mmoja,tulishirikiana kutunza mtoto mpaka ilipofikia kuanza shule yaani kindergaten na mpaka sasa yuko darasa la tatu,maswala yote ya kumlea...
Wakuu Heshima;
Kuna kitu kinaitwa Benki ya Kiislamu (ISLAMIC BANKING). Tafadhali naomba mwenye habari jinsi hiki chombo kinavyofanya kazi atupashe habari. Ni muda kidogo umepita tangu NBC na KCB...
Pamoja na wanaharakati, wasomi, na wanahabari, wanasiasa na wanajamii kuingiwa na wasiwasi na kujitahidi kulaani unyama uliofanywa na polisi kule IRINGA kwa kuua mwandishi wa habari wakituo cha...
watoto wa wanasheria maarufu wa Uingereza Lakha na Mucadam ambao nao wana kampuni yao ya uanasheria iliyosajiliwa kama Partners na wanasheria vijana maarufu kiTanzania wamefika jijini Dar es...
Dear All
Can some one advice what can an expat do if he finds his expat employer to be rude and abusive also announcing that the employee be sacked for no reason.The employer also claims to be...
Juzi katika kipindi cha Mwangaza wa jamii wachambuzi wa kipindi hicho kilimtaja kwa jina Mh peter Msigwa kwamba aliandika barua kwa maaskofu wa Iringa kwa kuwashukuru kumpeleka bungeni na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.