Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

waheshimiwa salaam. kuna kila dalili ya serikali, kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kuvunja kwa makusudi vifungu vya katiba, sheria za nchi na sheria za haki za binadamu za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF? Kama kichwa cha habari kinavojieleza. Kwa ufupi ni kwamba, naombeni msaada wa kisheria juu ya jinsi ya kupata hati ya eneo la zaidi ya hekari 18 ninalolimiliki kiasilia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ni kweli hakuna mtu aliye juu ya sheria inakuwaje Rais akawa na kizuizi cha kushtakiwa anapokuwa Madarakani.....? maana wizi ni kosa la jina ambapo aliyesaidia kitendo cha wizi au kumlinda na...
1 Reactions
0 Replies
708 Views
Habari zenu waheshimiwa wanasheria , kiukweli mm nimepata hii barua na nimeambia wakufika mahkamani kwa kushindwa kulipa pesa ya taka, hii imekuja baada ya habari ifuatayo mm nina kijifremu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman “Maadili na uaminifu ndiyo hutupa uhalali kwa wananchi.Majaji na mahakimu wanapaswa kuzingatia uadilifu, katika kusikiliza kesi na kuandika hukumu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upembuzi huu unaukubali uamuzi wa kumrudisha Mhe. Lema jumbani kuwa ni sahihi lakini unapinga baadhi ya sababu ambazo majaji walizitumia kufikisha hatma hiyo:- Sababu mbili ambazo ninazikubali za...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Naomba kuuliza nifanye nini ili ningie kwenye siasa wakati nikiwa bado mtumishi wa umma coz kadri ya siku zinavyoenda naona ndoto ya kuwa mwanasiasa inaniingia akilini but nataka nianze taratibu...
0 Reactions
1 Replies
944 Views
,Katka hali ya kushangaza tume ya katiba imekataa waandishi wa habari kuhudhuria mkutano wake na vyama vya siasa. Katika mtizamo wa kitaifa vyama vya siasa ndivyoambavyo vinaunda serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Ni tukio lililotokea leo mjini Mugumu wilayani Serengeti na kuthibitishwa na kamanda wa polisi mkoani Mara Absalom Mwakyoma.Askari hao ni Koplo David Delina mwenye namba E9172 kutoka ofisi ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Azan Bank wametoa tangazo hili kwenye Magazeti kuhusu waliokuwa watumishi wa Benki hiyo ambao wameshindwa kulipa mikopo: Mwananchi la tarehe 1.01.2013 The above are ex-staff of Azania Bank...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Desemba 4, mwaka jana, Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, aliagiza kwamba mtu yeyote au kikundi kinachomiliki silaha kinyume cha sheria wazisalimishe kwa hiyari ndani ya siku 30. Dk...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Paul Severin, akiwa nje ya duka lake, kijijini Ovada, Tarafa ya Kwamtoro, Kondoa. PENGINE siku ile ya Novemba 4, mwaka 1998 ilikuwa ni siku ya balaa na isiyoweza kusahaulika, katika maisha ya Paul...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna nchi kama vile ujerumani, wanazo sheria zinazoruhusu kufanya mapenzi na wanyama. Je inawezekana na sisi Tanzania tukawa na sheria kama hizo?
0 Reactions
91 Replies
18K Views
Swaziland, a small country in southern Africa, landlocked in between Mozambique and South Africa, has a solution to the prevalence of sexual assault in the country. The South African Independent...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
wana jf kwanza polen kwa msiba uliotufika wa ndugu yetu sajuki. Kwa heshima na taadhma naomba mtu yeyote aliye na andiko/dodoso lenye sheria za barabaran anisaidie kwani nahitaji kuzisoma ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MAONI YA KATIBA MPYA Tanzania ifuate muundo wa Katiba iliyoandikwa ya Ki-sekula na inayofuata mfumo wademokrasia. (A secular written and democratic constitution). Katika muundo wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba kwa yeyote mwenye setup file ya hiyo kitu JUTA(LAW REPORTS na PRINCIPAL LEGISLATIONS) anisaidie niweze kuipata,kama ni too large bulkness kuingia kwenye e-mail hata akinipa link ya wapi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
ahjssdsd
1 Reactions
21 Replies
12K Views
Habari zenu G-thinkers? naombeni mtu yeyote aliye na documents iliyobeba sheria za barabaran za nchini Tanzania anisaidie jamani, i real need it. waweza kuni PM au kuiweka hapa moja kwa moja...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Habari zenu wanasheria wote? Pia poleni kwa majukumu ya kila siku. Naomba kujua kama ni kosa kisheria kwa mtu kutumia sehemu ya mlio wa wimbo wa Taifa la Tanzania kwenye simu ya mkononi. Naomba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom