Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Female lawyers are forbidden from wearing revealing clothing including sleeveless shirts or dresses according to a new dress code for advocates of the High Court released today by the Law Society...
Jaman nahtaj kwenda kusoma diploma ya sheria kule Tanga lakini sina uwezo wa ku-pay school fs na hata ndugu zng hawako na uwezo huo.mbali zaidi mimi ni yatima.
Je naweza kupata mtu wa kunifadhili...
Nimeshitushwa na habari hii kutoka katika gazeti la mwananchi la leo.
WATU 12 raia wa Ethiopia wamehukumiwa na mahakama ya Wilaya ya Singida, kulipa faini ya Sh100,000 kila mmoja baada ya kukiri...
Wapendwa habarini za Leo?
Boss wangu ananisumbua kweli kweli yaani sina amani ya kazi hata kidogo, ni mwanamke na anatoka nchi jirani, nimejaribu kucheki ni wapi nimekosea but sioni. Anafikia...
Ndugu wana jf. Naamini sote tumesikia tukio lilotokea india la kumbaka mwanamke na mpaka kumchafua chafua na kumueka katika hali mbaya. Hebu jambo hili tulitizame kama lingetutokea sisi wenyewe...
No miniskirts for lawyers
By Harold Hayodo
Nairobi, Kenya: The Law Society of Kenya (LSK) has released a dress code for practicing Advocates of the High Court.
LSK Secretary Apollo Mboya and...
The WITS Student Law Journal of Southern Africa is an upstart journal housed within the University of the Witwatersrand and run completely by an editorial team of law students.
The aim of our...
hivi ni jambo la busara mwekezaji kutoka nje kuwa na sauti ndani ya nchi yetu na kushiriki katika kuwakandamiza wananchi (wazawa). je serikali iko wapi juu ya suala hili na je kati ya mwananchi...
Wana jamvi naomba kuuliza sheria ya kazi inasemaje juu ya kulipwa likizo yaani ela ya nauli..
Mwenye kujua tafadhari.
Je ni lazima kwa tanzania au imeweka mwajiri achague?
Katika Hali inayoonyesha kuzidi kukomaa kwa rushwa Tanzania na hasa ndani ya jeshi la polisi askari wa usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma wanaonyesha waziwazi kusuka mipango ya kula hela za...
Ni hivi,
Nimefanya biashara na Mr. A pasipokuwa kujua kwamba Mr. A anadaiwa na Mr. B ambako ndiko biashara tuliyofanya inakopitia. Baada ya Mr. A kunizungusha sana kuhusu amana yangu nikaona...
Ndg wana JF,
mpendwa wangu anaumwa kansa ya damu na amelazwa bugando, ambayo imesabishwa na kufanya kazi katika mgodi wa north Mara, kama kibarua akiwa anajitafutia riziki, naomba nisaidiwe...
Wakuu naomba msaada wa namna ya kufuata ili kunyanganywa ardi na serikali ya kijiji maana wameninyanganya shamba langu na hivyo nataka kujua iwapo taratibu stahiki zimefuatwa maana siku wepo...
Tv sibuka imekuwa kwa muda mrefu sasa ikiwa inaonyesha movies mida ya usiku hasa saa tano tano
aina ya movies zinazoonyeshwa ni za holywood mara nyingi
fine...
Ila tatizo nililoliona na kushtuka...
Kuna kesi imetokea mtaani kwetu kuna bint wanadai kabakwa na jamaa flan na kuambumkizwa vvu. sasa je ushahidi gn unahtajika ili jamaa mbakaji aweze kufungwa
Tangu mchakato wa kutoa maoni uanze, baadhi ya watanzania kwa kupitia Radio fulani pia makongamano mbalimbali ya katiba wanapenda sasa nchi iwe na siku tatu za kupumzika hili pia waislam nao...
Wana jf hasa wale wajuzi wa sheria ,naombeni kujua kama sheria inatoa muda wa mwisho hukumu iwe imetolewa baada ya kusikilizwa kesi,naulizia ngazi ya mahakama kuu.au jaji anaweza kuitoa wakati...
Moja ya sheria za usalama wa barabarani inasema: "Usiendeshe gari huku umelewa." Leo, nikiwa ndani ya daladala narejea nyumbani kutoka katika mihangaiko ya maisha nimepita karibu na baa kubwa hapa...
Hii kitu inaitwa kubambua. Ipo sana huku Kilimanjaro, sijui mikoa mingine kama ipo. Ni hivi: Kwa mfano kamati ya shule ya msingi imeamua kila mtoto alete shuleni mahindi debe moja na maharage sado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.